Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama ilivo kawaida yangu, na ratiba yangu ni ileile nikifurahi mida ya saa 3 usiku, ntaachia pdf moja, nafikiria nianze na kada ipi ya November,TAEC,TARI, HESLB, au ngoja tuanze na hawa wa dec TRA.🤣🤣🤣
 
TRA ni march au April kabisa kama waliopita 😄
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani unapendeza kuliko ata boss wa taasis tunayokupeleka, hii inakua dharau.
Kwani kupendeza si ndio usmart huo? Nani alimwambia boss hasipendeze? Naona hakuna correlation baina ya kupendeza, kuvaa tai na kukosa kazi. Naamini kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi na sawa regardless what.

Kumbuka pia, Kuna wengine hawajavaa tie na still walipendeza sana kuliko boss, so kuvaa au kutokuvaa tie haina uhusiano na kupata au kukosa kazi.

Don't worry about how it will happen, Trust God that it will.[emoji120]
 
Kwani kupendeza si ndio usmart huo? Nani alimwambia boss hasipendeze? Naona hakuna correlation baina ya kupendeza, kuvaa tai na kukosa kazi. Naamini kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi na sawa regardless what.

Kumbuka pia, Kuna wengine hawajavaa tie na still walipendeza sana kuliko boss, so kuva au kutokuva atie haina uhusiano na kupata au kukosa kazi.

Ulivaaaa tai nini 😂😂 walaka mrefu sana
 
Don’t take it too personal walikuwa Wanazinguaa tu
 
Back
Top Bottom