Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau naomba kuuliza hivi kama MTU ameitwa usahili wa afisa ushirika ,, apitie wapi wapi pakusoma Maana kasoma BANKING n FINANCE ,,,au aliye wahi kufanya usahili huu wa afisa ushirika,, written qns kama unazo tupia ziwasaidie kweny kujiandaa ...jamaa angu anaomba msaada kweny tuta
 
Yaahi umesoma Banking na Masuala ya Ushirika huyajui duuh

Haya embu nenda website ya Tume ya Ushirika Tanzania Cooperarive Commission pale kuna mambo kibao

Soma pia Cooperative Societies Act..
Pia Ujue ushirika ni Nini

Pia Soma sheria za AMCOS za kila kitu Kilimo Mifugo nk..
Pia soma aina za Vyama vya Ushirika
Ntakuorodheshea.
  • Table 1: Registered Cooperatives by Type as at December 2019 for Tanzania Mainland. Type.
  • Total. SACCOs.
  • 6,178. Agricultural Marketing Cooperatives.
  • 3,835. Unions.
  • Cooperative Joint Enterprises (CJE)
  • Beekeeping.
  • Livestock.
  • 238. Consumer Cooperatives.
Vipengee zaidi...
 
Mkuu shukrani kwa maoni yako.

Ukikaa vizuri na kuweza kufuatilia huu uzi(maana nimeona haujawahi kuufuatilia), basi utagundua kama maoni yako ni sahihi au la.
Nafasi za kazi zinakuwa zimeshaandaliwa watu wake kama nilivyoelezea hapo awali.....ule usaili is just a formality mkuu, there's nothing more to it.
 
Back
Top Bottom