Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
AFANYE ANACHOJISIKIA YEYE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo zuri mkuu,ni heri kujua kwanza vibaba vya maokoto vilivyo kabla ya kuingia sehemu husika
Hongera sana...Namshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.
Na malecture wa vyuo wapo hapo au
HawapoNa malecture wa vyuo wapo hapo au
TGTS J Ni walimu wakuu amaHawapo
Achana nae akitaka atoe mkeka akitaka aacheIT fanya kweli mwaka usiishe huu bila watu kufurah.
Hakuna hiyo scale mkuu.TGTS J Ni walimu wakuu ama
Yes hiyo IHakuna hiyo scale mkuu.
Labda unamaanisha TGTS I.
Sorry mkuu sikuwa nimeona vizuri.Yes hiyo I
Nafasi za kazi zinakuwa zimeshaandaliwa watu wake kama nilivyoelezea hapo awali.....ule usaili is just a formality mkuu, there's nothing more to it.Mkuu shukrani kwa maoni yako.
Ukikaa vizuri na kuweza kufuatilia huu uzi(maana nimeona haujawahi kuufuatilia), basi utagundua kama maoni yako ni sahihi au la.
Japo hujanialika ila mimi nitajialika mwenyewe endapo huo ugali unanuka shombo la kuungua na una ukoko
mie mwenyewe naona mapichapicha tu hata sielewi mambo yanavyoenda..Nafasi za kazi zinakuwa zimeshaandaliwa watu wake kama nilivyoelezea hapo awali.....ule usaili is just a formality mkuu, there's nothing more to it.