Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Wanalalamika waombaji wengi hawajakidhi vigezo. Ukiona umeitwa ni kwasababu hakuna chaguo la pili lakini ni hamna kitu.
Kama wewe ni mwasibu ukitwa Utumishi ujue pale KPMG, PWC hata ukarani hupewi.
Kama wewe ni mwanasheria, wakikuita ujue uwakili wa binafsi huwezi.
Kuna malalamiko mengi, ila hakuna namna, graduates wengi wa sasa ndio wale wamefanya mitani ya kuchagua, unawekewa majibu wewe unatafuta fomula.
 
Watu wa IT, buyu la Asali TCRA hilo.

Kazi kwenu..
dadek pale ni mzinga wa asali mkuu,tutauana natupia afu naanza kujifua since day 1 inayosoma received mkuu😁😁
Ntatupia ata nisichosoma class ntakomaa online😂😂😂

napajua vizuri sana pale watu wanakula honoraria za kufa mtu
 
Daaah aisee yaani hapo ukipata mzee yaani unakuwa unaogelea kwenye bwawa la asali halaf maji yako ni maziwa, chakula tende na korosho na godoro la kulalia keki. Yaani kila unapojigusa ni utamu utamu tu 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom