Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Hii wk nahisi hakutakua na pdf🙃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Practical jamaa alimuita msimamizi...sasa jamaa anamwambia computer inashida msimamizi anasema jamaa kakosea command...jamaa akapaniki sanailikuaje iyo 🤣 🤣
Wanalalamika waombaji wengi hawajakidhi vigezo. Ukiona umeitwa ni kwasababu hakuna chaguo la pili lakini ni hamna kitu.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Hapa ni kuongeza receivedWatu wa IT, buyu la Asali TCRA hilo.
Kazi kwenu..
zima tu watu wanafundishwa saikolojia uko 🤣 🤣Mkuu vp nizime data au niwe live?😃
hili kweli buyuWatu wa IT, buyu la Asali TCRA hilo.
Kazi kwenu..
Na watatunyoosha kwenye interview hao wakitoka huko😂zima tu watu wanafundishwa saikolojia uko 🤣 🤣
Tena ili ulipeleke mdomoni sharti ulishike kwa mikono miwili kikakamavuhili kweli buyu
mpaka kufikia mwezi wa saba naona taasisi zenye asali nono zitakua zinafunguka.mwanzo mzuriHao TCRA ndio asali sasa hiyooooo, yan hao wanakutenganisha na umaskini
dadek pale ni mzinga wa asali mkuu,tutauana natupia afu naanza kujifua since day 1 inayosoma received mkuu😁😁Watu wa IT, buyu la Asali TCRA hilo.
Kazi kwenu..
Daaah aisee yaani hapo ukipata mzee yaani unakuwa unaogelea kwenye bwawa la asali halaf maji yako ni maziwa, chakula tende na korosho na godoro la kulalia keki. Yaani kila unapojigusa ni utamu utamu tu 😂😂😂😂dadek pale ni mzinga wa asali mkuu,tutauana natupia afu naanza kujifua since day 1 inayosoma received mkuu😁😁
Ntatupia ata nisichosoma class ntakomaa online😂😂😂
napajua vizuri sana pale watu wanakula honoraria za kufa mtu
godoro keki mto andazi shuka chapati🤣 🤣Daaah aisee yaani hapo ukipata mzee yaani unakuwa unaogelea kwenye bwawa la asali halaf maji yako ni maziwa, chakula tende na korosho na godoro la kulalia keki. Yaani kila unapojigusa ni utamu utamu tu 😂😂😂😂
😃😃😃😃 iko hivi aliyeingia miaka 10 kazini ndani ya miaka 2 tu hakupatiDaaah aisee yaani hapo ukipata mzee yaani unakuwa unaogelea kwenye bwawa la asali halaf maji yako ni maziwa, chakula tende na korosho na godoro la kulalia keki. Yaani kila unapojigusa ni utamu utamu tu 😂😂😂😂