sam mirror 1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 969
- 2,318
Too much ya nnMmmh hii sasa too much
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too much ya nnMmmh hii sasa too much
Pdf mzee...zimeadimika sana mzeeToo much ya nn
Lazima tuheshimiane.Mmmh hii sasa too much
Yeah mkuu ni chapSasa apo si Wana not selected wote wanne mwenye selected ni huyo pekee aliepata kazi ndo huwaga ilivo maana kwenye hizi taasisi mara nyingi kwenda oral huwaga watu wachache sana mara nyingi wanaopataga kazi kwenye status ndo Huwa Wana selected akikosa mmoja hapo ujue lazima aandikiwe not selected for oral tofauti na MDA and LGA ambapo huwaga nyomi la watu status kubadilika ina depend ila kwenye taasisi ndo unajua chapu tu
The same wasikorofishe status tuOy nyie uko kwenu kwenye app panaingilika??? Toka jana mm under maintenance tu
achana na status utapaniki kiongozi😂Mkuu upo da najua we ni mkali kwenye status
Vp ukiwa na selected for oral kote kuna matumaini?
Utapata mzee wakati umefika sasaHahaha 🤣 🤣 🤣 mzee mi mkongwe umu kuzidi wewe nimeangaika vya kutosha
Enzi za kina mwifwa pmj na wizy nipo ila mda wangu naamini unakalibia.
Kwanini hawatoi mikeka sikuiziMpaka kada ya Afya na kada ya Ualimu wamalize usaili ndio kada nyingine tukumbukwa. Huu mwaka hakuna rangi tutaacha kuiona, ila tupo sambamba na PSRS mpaka tulambe asali.
Amen mkuu ikawe ivyo.Utapata mzee wakati umefika sasa
kada ganiKuna watu wameitwa interview kwenye portal uko
ITkada gani
ni kampuni gani au MDA
Marabiosh hivi yule phina alikupa ya sodautumishi muda unaenda jamani
Marabiosh hivi yule phina alikupa ya soda
Taasisi gan