Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi washawahi kukaa mwezi mmoja na hawakutoa mkeka ilikuwa mwaka jana sijui mwezi gani ule naona hali inajirudia?
 
Sasa apo si Wana not selected wote wanne mwenye selected ni huyo pekee aliepata kazi ndo huwaga ilivo maana kwenye hizi taasisi mara nyingi kwenda oral huwaga watu wachache sana mara nyingi wanaopataga kazi kwenye status ndo Huwa Wana selected akikosa mmoja hapo ujue lazima aandikiwe not selected for oral tofauti na MDA and LGA ambapo huwaga nyomi la watu status kubadilika ina depend ila kwenye taasisi ndo unajua chapu tu
Yeah mkuu ni chap
 
Back
Top Bottom