Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Badilisha search engine au kwa kupitia Google, search "Bing" kisha andika ajira portal kwakupitia Bing, na utafanikiwa kuziona websites zote mbili za ajira portal.
Mwanzo nlkuwa Niki-search Ajira Portal inakuja zote mbili ila nashangaa sasa hv inakuja moja ile ya login so ili kupata ile main inanitaka niandike ajira tuu.
 
Unaweza ukafuatilia web ya PSRS kila muda hadi watu wakafikiri unabeti maana kila muda unaingia kuchungulia kama kuna jipya
 
Back
Top Bottom