Jerry001
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 585
- 1,299
Utumishi kwenye suala la kuchelewesha mchakato wa ajira ndipo walipofeli, ila kwenye haki wapo vizuri, ukifanya interview ukafaulu hakuna longolongo unapangiwa kituo cha kazi. Huko kwingine ambapo wanaajiri wenyewe vimemo huwa ni vingi.BOT,TRA,TANESCO nadhani walikuwa sahihi kujitoa utumishi.
Kosa lingine kubwa Tamisemi kupeleka ajira PSRS.