Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

BOT,TRA,TANESCO nadhani walikuwa sahihi kujitoa utumishi.

Kosa lingine kubwa Tamisemi kupeleka ajira PSRS.
Utumishi kwenye suala la kuchelewesha mchakato wa ajira ndipo walipofeli, ila kwenye haki wapo vizuri, ukifanya interview ukafaulu hakuna longolongo unapangiwa kituo cha kazi. Huko kwingine ambapo wanaajiri wenyewe vimemo huwa ni vingi.
 
Kwa hali ya sasa bora vimemo.

Mchakato wa ajira uliotumia muda mrefu mwaka huu ni TANAPA na BUNGE pekee.

Wengine wanagonga miezi 6 hadi mwaka.

Mimi naona bora vimemo tu
 
Kwa hali ya sasa bora vimemo.

Mchakato wa ajira uliotumia muda mrefu mwaka huu ni TANAPA na BUNGE pekee.

Wengine wanagonga miezi 6 hadi mwaka.

Mimi naona bora vimemo tu
Sina uhakika kama ni hao tu. Binafsi nina received za mwezi wa tano na mwezi wa sita hadi leo kimya. Fikiria unasubiri kuitwa tu interview zaidi ya miezi mitano. Huo ndio ucheleweshaji wa mchakato wa ajira. Yaani hadi unasahau.
 
Mm nilishangaa oral yangu walikuja kuita watu baada ya miezi 4 ajira walitangaza 50 ila waliita 24.

Database yake wameanza kuchukua baada ya Miezi 11 mpaka leo mwezi wa 13 wanaita tu.

Hapo ndipo nilipoona Udhaifu wa PSRS.
 
View attachment 3117569
Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anatoa pole kwa familia, watumishi, ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mtumishi wake, Ibrahim Amiri ambaye amefariki dunia kwa ajali ya gari.

Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Jamaa jumamosi iliyopita katoka kusimamia usaili wa Kigamboni wakati wa kurudi Dodoma kapata ajali na kufariki, aliajiriwa mwaka jana
 
Jamaa jumamosi iliyopita katoka kusimamia usaili wa Kigamboni wakati wa kurudi Dodoma kapata ajali na kufariki, aliajiriwa mwaka jana
Wote lazima tushuke futi 6.

Ila wao wazee wakutukanda wanalo la kujifunza.

Nimeumia kuona kijana mdogo kakata moto na amelamba asali sio muda.

Psrs waendane na speed ya huu ulimwengu
 
yaani naona huu mwaka umeshaisha aisee.huu mwezi watatoa pdf 1 wataligawanya mara 2 mwez wa 11 la afya wa 12 pdf 1 mwezi wa 12 pdf 1 walimu mwakani
Mwaka una kimavi database mm ndo nilikuwa naitegemea kuliko hata hii ya juzi direct.

Pdf ya tar 25 nimeona wamechomoa bugando watu 20 kutoka pdf yangu mpaka nimeshangaa.

Uwa unajiuliza nimepata ngapi?

Ila shida hata wadau wangu kama 5 hakuna aliyeitwa japo wote tumepiga tena oral ya juzi
 
Back
Top Bottom