Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hawa wanaoitwa kwa wingi Wizara ya Afya ndio waliofanya Oral ya TAMISEMI juzi?
 
Bahati hizi za kimasikhara.

Ukute hawa ndio walipata marks za kawaida kwenye Oral na ndio walikuwa wanaenda kukaa Database.

Nina Imani wale walioperforme vizuri Oral tayari washapangiwa Tamisemi ila imebaki tu ngoma iachiwe

Inaitwa blessing in disguise. Baraka zinazokuja kama mkosi. Unapata marks ndogo oral wenzio wanapangiwa kazi we unatupwa database unaibukia NHIF na MSD. Unaanza kupita pita Befoward na kutembelea page za madalali wa viwanja.​
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ngoja niwe mpole
 
Bahati hizi za kimasikhara.

Ukute hawa ndio walipata marks za kawaida kwenye Oral na ndio walikuwa wanaenda kukaa Database.

Nina Imani wale walioperforme vizuri Oral tayari washapangiwa Tamisemi ila imebaki tu ngoma iachiwe
Waliopeform vizuri oral ndio wakaitumikie Tamisemi maana uko ndio kunahitaji akili nyingi za utekelezaji uko vijijini😂
 
Back
Top Bottom