Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pdf zote zinatoka na wizara ya afya,usikute tamisemi mwaka huu hakuna.Wameita Medical doctor huko Raia karibia 600+ muda huu wizara ya afya. PDF teali
Huo ndio utumishi subirini 2035 mtapangiwa kaziKuna watu wamefanya interview tangia 2023 Hadi leo ni hola
Upuuzi gani huu ?
Punguza uongo hakuna kitu km hichohuu mwaka watu wataingia wengi sana kwenye system
Leteni ushuhudiwa wakuuPDF hio apo
Basi kama ni uongo matangazo yao hayajakaa sawa, kuanzia tangazo la kazi ambalo lilihusu MDAs na LGAs ,adi kufanya usahili.na hatimaye pdf ambazo zinaandika muajiri ni wizara ya afya (MDAs),swali je hawa LGAs waliohusishwa kwenye tangazo wako wapi??Punguza uongo hakuna kitu km hicho
Oral walifanya 2000+Medical doctor 600+ duh..kumbe jobless tulikuwa wengi mpk MD
Na walikua wanahitaji watu wangapi?Oral walifanya 2000+
Ina maana hapa kuna uwezekano hawa wanaoitwa na wizara ya afya walitakiwa kuwepo kanzi data au😂pengine wale waliofaulu ndo wako kwenye iyo pdf ya tamisemi ,narefer kwa mkuu @ MwifaKuna comment nimeiona kwenye uzi fulani naomba niipaste hapa;-
"Nitaka nitoe ufafanuzi juu ya ajira za afya zilizotoka juzi,,,,
Ajira hizi mwajiri wake ni wizara ya afya anayesimamia ajira za taasisi za serkali kama vile vyuo vikuu vilivyo na vituo vya afya, hospitali za mikoa, hospital za Kanda na hospital ya Taifa, majeshini nk
Kuhusu walioajiriwa
Maadam anayeratibu ni UTUMISHI kupitia ajira portal, yeyote aliyefaulu usahili anaajiriwa yoyote aliyefaulu usaili wa mahojiano.
Kama Kuna mtu alifanya usahili tarehe hizo tajwa na akafahulu , wizara ili omba watu hao kutoka kwenye data base ya UTUMISHI wakawapatia watu walionao.
Kuhusu hizi za Tamisemi ambazo ndo ni za watu wengi zaidi zitatoka hivi karibuni na mwajiri wake atakuwa ni mkoa husika yaan LGAS na MGAS kwo tuwe watulivu maana ajira za afya under Tamisemi zilizoratibiwa na sekretariet ya ajira
Wapo watu kama 10k + ambao tayari wameshapangiwa vituo na majina Yao yatatoka muda SI mrefu.
Nawasilisha."
Kwa mujibu wa maelezo haya, hizi ajira wanazotoa PSRS sio zile zilizotangazwa. Hizi ni additional posts baada ya Wizara ya Afya kupewa vibali vingine vya kuajiri na kuomba watumishi kutoka PSRS.
Hivyo, mlioomba zile posts ambazo waajiri ni mikoa, posts zenu bado, endeleeni kusubiri. Ikitokea hukupata kule ukapelekwa Wizarani , nayo imekaa vizuri.
Yote kwa yote, kama ni kweli serikali itaita watu wote kama trend inavyoonekana, huu mwaka watu wataingia wengi sana kwenye system.
NA nafasi walihitaji 726 ila wameitwa 681Oral walifanya 2000+
726 au 721 kama sijakoseaNa walikua wanahitaji watu wangapi?
Jumlisha na za Jana 65 idadi unatimia, mana Jana pia waliita kama 65 iv kama sikosei ukijumlisha na hizi za Leo 600+ idadi inatimia, kwahyo Kwa upande wao idadi ishatimia teali according to the tangazo la nafasi wanazohitaji726 au 721 kama sijakosea
Wale ambao wangebaki database wanapangiwa popote penye nafasi.Unapangiwa kule ulikoomba!! Hupangiwi kutegemea marks za usaili!
Haiwezekani upangiwe Mwajiri ni Wizara ya Afya halafu iwe Tamisemi.Basi wangeunganisha kwenye sehemu ya mwajiri kwa maneno ya muajiri wizara na tamisemi,pale wamemuandika wizara tu nadhani ni swala la muda kama alivyosema @ mwifa
Kuu jana zilitoka za pharmacy na nurse bachelor, labda kama ni zile pdf za trh 16 afu zile walikuwa 45Jumlisha na za Jana 65 idadi unatimia, mana Jana pia waliita kama 65 iv kama sikosei ukijumlisha na hizi za Leo 600+ idadi inatimia, kwahyo Kwa upande wao idadi ishatimia teali according to the tangazo la nafasi wanazohitaji