Umeona umepuuzwa sasa unatafuta support kwa nguvu
Huyu super chawa pamoja na Lukasi siku hizi nyuzi zao zinapuuzwaUmeona umepuuzwa sasa unatafuta support kwa nguvu
Lemma kaenda Canada na mamilioni ya fedha za tonetoneHata vyombo vya habari, vimeacha kumuona kama habari ukilinganisha na siku za awali tangu atiwe nguvuni.
Yule tapeli keshakimbilia Canada, alikuwa anajinasibu anaweza kukusanya fedha za kuendesha CDM na hata kulipa makatibu wa kata wa CDM.
Wamemchoka jamaa analeta fujo Hadi mahakamaniNimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
Kwani wasipohidhuria kesi haiendelei?Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
Uko dalili za mwishoni kabla ya kuchanganyikiwa 100%
Walikuwepo wewe pekee haukuwaonaNimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
Walikuwepo wewe pekee haukuwaonaNimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
Ndio wamempuuza, kwani ulitaka nini mkuu?Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
Wonderful observation, yule mbishi mpenda sifa anachosha. WamemchokaNimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
Kifupi, wamekata moto.Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?