Ukiwa "delulu" huwezi kujijua wanaokuzunguka ndio wanajua.Kwa nini?
Ukiwa "delulu" huwezi kujijua wanaokuzunguka ndio wanajua.Kwa nini?
Heche ni mume wa mtu, mbona unamfuatilia sana? Ulikua na ahadi nae mkutane mahakamani?Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
Kuna mambo ambayo wengi wetu hatuyajui.1.Wanaweza kuwa wamegawana majukumu.
2.Pesa, vyanzo vya mapato vya Lissu ni vidogo, unakumbuka Mbowe,aliwahi kaa mahabusu,lakini si mahakamani tu,hata gereza alikokuwa watu walikuwa wanapishana kwakuwa mwamba ki financial yupo vizuri.
3.Lakini ukweli ni kwamba Agenda na msimamo wa Lissu haukuungwa mkono na wengi,Nia ya Lissu ni nzuri kuhusu kususia uchaguzi mpaka reforms zifanyike lakini ukweli watu wengi waliutaka uchaguzi ili wapambane wawe wabunge , madiwani n.k.
4.Anguko la CDM lipo wazi ,wamekosa haki kibao haswa ruzuku, lakini tetesi za Chama kutaka kifutwe kisitambulike,n.k
Lema kazuiliwa kutok nje ya nchi ,haya kaenda CANADA ipi? Na kwa njia ipi?Lemma kaenda Canada na mamilioni ya fedha za tonetone
Lemma atoke hadharani atupatie mahesabu ya fedha za tone tone, yeye ndiye alikuwa mtunza hazinaLema kazuiliwa kutok nje ya nchi ,haya kaenda CANADA ipi? Na kwa njia ipi?
CANADA wameresteict VISA kwa sasa kwa Tanzania,haya yeye kaenda vipi?
Akili si matter core
Wewe unawachoshaNimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
Hesabu za matumizi za pesa za umma mama Wanu amewahi kuzitoa ?Lemma atoke hadharani atupatie mahesabu ya fedha za tone tone, yeye ndiye alikuwa mtunza hazina