Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

Na wewe unauhakika gani hizo sayari zipo km sayansi inadanganya?

Km tu umbo la dunia ni debate mpaka leo
Umbo la dunia ni debate mpaka leo kwa wajinga kama wale wanao debate kama UKIMWI upo au ni propoganda, leo hii kuna hadi picha na video zimepigwa na vyombo kutokea nje ya dunia.
 
"Mtakula kwa Jasho...." Hiyo ni kwamwanaume,mbona hata viumbe wenginee wasio Binadamu wanatesekaa kupata mloo mfano Simba akiwinda hukimbiza haswaa mpaka huruma,kunguru etc.
 
Ninakazia hapo 😂
 
Unaweza ukatupa uthibitisho usio na shaka kwamba Dunia Inazunguka?
 
Hakika.
Ni muda wa watu kuachana na hofu walizopandikizwa na wahubiri, mapadre, walezi na waimba injili toka utotoni.
Mara ohh.. utachomwa moto, utapata mabalaa, kulia na kusaga meno ..
Aiseeh ..
Hofu kubwa nyingine ni kuwa ukifiri nje ya box namna hiyo ni kuwa unakufuru na hiyo dhambi haisameheki.

Unakufuru nani? Dhambi kwa nani? Na haisameheki kwa nani? Hebu tuache upuuzi shubaaamit😂
 
Am pretty Sure that's not how the saying goes....
Yeah ni kweli..
😅😅
Japo inategemea Na lugha utakayoitolea Maana ukitoa kwenye Greek na Latin
The translation alwayz zinakuwa tofauti..

"The mind choose what it choose to See"

hiyo Condition inaitwa Psychological Scotoma au Mental Scotoma 😅😅

Kwahyo sentence itachange kuwa "mind seeing what it wants to see"

Mtu anaweza kukwambia Alichukuliwa akaenda Kuzimu Kabisa..

au mwingine Anaweza kukwambia Alimwona Yesu/Au Mtume..
Sasa Ukitaka kujua ni Scatoma Wachukue wote wanaosema walimwona Yesu au Mtume halafu waulize Structure, Presentation na Hata sura kila mmoja atakuwa na Wazo lake..
😅😅
 
Quran 12:4 sura Yusuf 4." Yusuf alipo mwambia baba yake: Ewe babaangu! Hakika mimi nimeota nyota kumi na moja, na jua, na mwezi. Nimeota zikinisujudia" pia ukisoma Quran sura ya 51 inasema "Hakika mnayo ahidiwa bila ya shaka ni kweli,Na kwa hakika malipo bila ya shaka yatatokea. Naapa kwa mbingu zenye njia,(Galaxy milk Way)
 

Attachments

  • Screenshot_20240807-200001.png
    1.1 MB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…