Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

Kama dunia tu ilikuwa inafikiriwa ipo kama meza,unadhani sayari nyingine zingetambulika?Binadamu amepewa uelewa lakini ili kupembua mambo,muda ulihitajika.
 

Nisingependa kujielekeza kuongelea hadithi za Sumerians na Hindu ambazo zilikuwepo miaka elfu nyingi kabla ya Quran lakini hiyo Big bang yenyewe hapo inavyoelezewa ni kituko kitupu. Bing bang inaelezea expansion ya universe from singularity sio kujiachia au kuwa parted asunder kama vile unakata mnofu kwenye pande la nyama🀣
 
Sina uhakika hata unapozungumzia heavens unamaanisha nini lakini itoshe kusema hii sio sayansi unayozungumia hapa, ozone layer sio space.
 
Kazi ya kuzitaja majina tumepewa sisi binadamu tuchunguze.
Alafu hizo sayari ni chache sana.tunazozijua
 
nyie akili mlishaazimisha kwengine kama unaona huo ndio mwanzo baki hivyohivyo, kutoka huko mtu anatoka na fikra zake so bado hujafikia hiyo hatua
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Saaasaa kama ndivyo, kwanini alikasirika wakati watu wa babeli walipotengeneza mnara? Si angewaacha tuu ilihali anajua kabisa hawataifikia mbingu yake
 
Naongea na atheist ama? If so, goodbye.
Am not Atheist..
Tatizo la watu wengi wakiona hawawezi kujibu Maswali bhasi lazima wasingizie Kuhsu atheist..

Nimeuliza maswali ambayo yanahitaji majibu yako wewe..

Fuatilia Post zangu mimi sio atheist na siwezi kuwa atheist ila swala ni kwamba kwanini mnapoulizwa maswali magumu bhasi mnakimbilia Kuhusu Atheist??

Ukiulizwa swali ambalo unahisi Una jibu iwe limeulizwa na Agnostic (Atheists) au Ignostic au Gnostic mwenzako kwanni usilijibu kwanza ?
 
Saaasaa kama ndivyo, kwanini alikasirika wakati watu wa babeli walipotengeneza mnara? Si angewaacha tuu ilihali anajua kabisa hawataifikia mbingu yake
Sasa hii ni another case kwasababu kama mnara wa babeli ilikua ni wakutoka nje ya mipaka ya dunia tu basi hata hizi project ambazo zinaendelea Sasa hivi kama zile za space β˜“ huko kwenye sayari ya Mars zisingeendelea.
 
nyie akili mlishaazimisha kwengine kama unaona huo ndio mwanzo baki hivyohivyo, kutoka huko mtu anatoka na fikra zake so bado hujafikia hiyo hatua
Ni ajabu kama mtu ameazimisha akili halafu bado anakuzidi wewe uliyenazo zote, kama unajua huo sio mwanzo tupe elimu ya huo mwanzo
 
Bila hata kuingia kwenye mjadala mrefu wa translation gani ya Quran umetumia(maana hii sio tafsiri ya Yusuf Ali au Shakir), hakuna kitu kama "universe" kwenye Quran, wewe hapo ni chumvi tu umeongezea. Kitu mtume wako alikuwa anajua kuzungumzia ni sky na heavens.

Halafu embu tuambie Quran 51:48 inasema "As for the earth, We spread it out. How superbly did We smooth it out! And the earth We spread it out, How well We smoothed it out"

Hii spread out inamaanisha ni expanding earth au flat earth??
 
Baba Mwajuma,
1. Concept ya universe imekuwepo miaka 500 BCE.
Huko ugiriki, wakina Pythagoras na Anixamander walishazungumzia universe mamia ya Karne kabla kurani haijaandikwa.
Vilevile, wakati kurani inaandikwa, tuyari wakina Mt. Augustine na Boethius walikuwa wameshaandika kuhusu ulimwengu kama muunganiko wa dunia na mbingu (space).
Hivyo basi, mungu wa kurani hakusema chochote kipya kuhusu anga. Waandishi wa kurani walichukua tu ideas za anga zinazokubalika wakati huo.

2. Kuhusu universe kuexpand:
Kurani kudai Mungu anapanua anga haina mahusiano ya moja kwa moja na cosmic expansion inayozungumzwa kwenye contemporary science ambayo unajaribu kuhusisha hapa.

3. Kurani imeandika concept nyingi tu ambazo ni unscientific. (Labda enzi hizo zilidhaniwa kuwa sahihi)
Mfano:
  • Jua kuzama matopeni
  • Kuchukulia anga kama Mbingu. Tena mbingu saba. Where is mbingu in the universe?
  • Kuchukulia Dunia kama tambarare inayoimarishwa na milima.
  • Kudhani kwamba jua linatembea (lina-move)
  • Kudhani kwamba viumbe vyote vipo viwiliviwili. Bacteria tu au amoeba wanaiprove kurani wrong.
  • Na Kadhalika.

Hivyo basi, kurani haina maajabu yoyote ya kuifahamu science. Waliandika kwenye vitabu vyao kilichoaminika na wanasayansi na jamii ya enzi hizo tu.
 
Sina uhakika hata unapozungumzia heavens unamaanisha nini lakini itoshe kusema hii sio sayansi unayozungumia hapa, ozone layer sio space.
Ayah za anga zipo nyingi , Qur an ina elimu ya anga kabisa kama ulikuwa hujui ....Elimu hii hata ukitaka tafuta wavuvi pale kigamboni watakuambia .
 
Namba 3 ulichoandika hakina ukweli , nioneshe kweny Qur an jua linazama kweny matope ? Hlafu nitakufundisha kila kitu ! Hizo nyingine kama dunia tambarare ni kwamba wewe ndio huelewi .

Hakuna kiumbe aliyopo duniani akaona dunia ni duara , dunia ni tambara kweny surface ya juu pakiwa na milima ,tambarare ni usawa tuliokuwa nao ndio maana tunajenga majengo ...Achana na concepts kwamba dunia ni Duara hata iwe duara ila ndani yake ipo tambarare πŸ˜€ πŸ˜›
 
Tunamaanisha kapigwa ngwara
Hapo umeelewa kuwa hakuna mtama wala hakuna kukatwa chochote, ni kupigwa ngwara. Nini kinachokufanya usielewe msemo wa "jua linazama matopeni"?

kama huelewi hilo muulize aliyenukuliwa alimaanisha nini aliposema hivyo?
 
Dini haijasema kwamba kitabu ndio mwisho wa maarifa. Wakatoliki tunaamini katika sayansi na ndio maana utagundua kuwa big bang theory ni padri aligundua, crater kibao za mwezini zina majina ya mapadri. Don't get it twisted. Dini ni lazima. Ni hulka ya Kila mwanadamu kutafuta a higher being
 
si tumekubaliana picha ni haramu sisi timu kobazi?
 
Hata Galileo alikuwa Mkatoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…