Kwanini vyombo vya habari bado vinaripoti kwa 'machale' taarifa za vyama vya siasa vya upinzani?

Pasko (a.k.a) njaa yuko kwenye hilo kundi. 🀣🀣🀣
 
Asilimia kubwa ya vyombo vya habari vinamilikiwa na mafisadi wa CCM na vilianzishwa kwa mitaji ya kifisadi ili kulinda ulaji wao
 
Sasa wewe unaweza ripoti ujinga wa majitu yasiyoelewa uchumi eti Samia kakopa Til 30 ndani ya miaka 2 na haijulikani zimefanya nini..,eti ukiuliza wametumia bil.600 kununua magari.

Sasa wajinga kama Hawa wasiolewa wanachofanya utaripoti nini? Hao ni wazushi na wajinga.

Walipo hapo hawaelewi hata maana ya deni ya serikali na deni la Taifa Wala expressions za hizo economic terminologies,then Heche anasema kwao Kuna wasomi 😁😁😁😁

Toka alivyokndoka Zito hawana hata mtu mmja aliyesoma Uchumi kuwadadavulia masuala ya uchumi,wote ni wapiga porojo tuu.
 
HABARI ZA MIKUTANO YA VYAMA HASA CHADEMA ZINAANDIKA KWA MAANDISHI MADOGO KAMA VILE HAZINA UZITO
 
Well said & Plain truth mkuu.
 
Hiii nchi ina wajinga wengi sana ila wewe ni moja ya wapumbavu walioshiba elimu ya kata
 
Anzisheni Chadema Media Television!

Mnashindwa na Haji Manara,ambae hana hara miaka mingi ya harakati kama nyinyi?

Hao mnaowaiga Demokrasia yao ,wana Media Platforms zao.hawategemei media za wengine!

Huko Kenya unaposifia ni kwa sababu hujui ni nani anamiliki KTN-NEWS,CITIZEN TV,na NTV-KENYA.

Siku ukijua ndio utajua kwamba ulikuwa hujui.

Halafu hata Media wana andika Point zenye hoja,nyingi mpaka sasa mnaendelea kutukana Magufuli pekee!

Tuliwaambia mje na hoja ndio mtapata support toka kwa Wananchi,ila mnashupaza shingo!

Time will Tell & Teach you a lesson!
 
Huu sio ukweli mkuu,TBC sio mali ya ccm,chombo hiki kinachukua kodi regardless upo chama gani, ni muhimu wakawa neutral, ila kuna vyombo binafsi ambavyo vimeshajipambanua vipo mlengo gani kisiasa, CNN wote tuliona ilikua pro Democratic kwenye uchaguzi wa US na Fox News ilikua pro Republicans, ila hizi channels zipo kibiashara na za kibinafsi, sawa na gazeti la Uhuru hapa nchini, ila ninashangaa zaidi kuona nipashe, mwananchi zikijifanya ni neutral kumbe zipo misimamo yao kisiasa, haina haja ya kuficha
 
Umesau zile sheria za mwendo kasi ,zilizotungwa eneo hili la habari na uhuru wa habari?Je umesahau fungia fungia vyombo vya habari,pamoja na faini za mwendo kasi kama namna ya kuwalinda watawala na chama chao na matendo yao,Usisahau kama bado Tanzania ni ile ile na watu ni wale wale,Kwa hakika bado tuna safari ndefu na ngumu kutoka tulipo kwamiaπŸ€”
 
Pia usisahau kutuambia na wewe unaifanya kazi ya nani?
 
Sawa Mkuu,

Lakini si kuna CHADEMA Digital? Kuangalia Mubashara?

kwani CNN siyo ya taifa? mda wote naamini ni habari za amerikani yaani kule kwenye usawa basi kila kitu usawa, au najichanganya? Sio ndio Demekrasia

Unaonaje TBC iuzwe au waigawe kwa vyama vyote?
 
Mkiniparua nawaparura 🀣 !!
 
Daaah!!
Zao la shule za kata.
Pole sana kwako, pole kwa familia, pole kwa jamii inayokuzunguka na pole kwa taifa kwa ujumla kwa kuwa "aibu".
 
Daaah!!
Zao la shule za kata.
Pole sana kwako, pole kwa familia, pole kwa jamii inayokuzunguka na pole kwa taifa kwa ujumla kwa kuwa "aibu".
Nyie machadomo ni majinga mno,Hadi Sasa hakuna hoja ya maana mumetoa na way forward.

Kajifunzeni Act kuchambua taarifa za kiuchumi
 
Hivi wewe voicer ni CHADEMA kumbee!!???
Maana nasoma mara kwa mara kuwa hapa jukwaani wana CHADEMA ndio wanaomtaja sana na mara kwa mara JPM,sasa wewe kila comment yako lazima umtaje huyo mwendazake!
 

CNN haimilikiwi na serikali ya USA, na raia wake hawatoi kodi yao eti kwenda kutumika CNN na hivyo hivyo kwa Fox News, ila TVs hizi zina misimamo yao kisiasa na ni haki yao,TBC ni TV ya Taifa,watanzania wote wanalipa kodi towards TV hii,means impartial ilitakiwa iwe ni key hapa, ukienda hapo SA wana SABC hawa nao ni kama TBC ,ila SABC wapo impartial ndio maana hata CIC Malema anaweza kuitumia hii kuichana serikali,CDM digital sikushangai middle class wewe kufikiria hivyo, maana mpo mbali na yaliyopo on the ground, mkifika kwenye miji mnajifanya mmesahau mlikotoka,Huku lingusenguse wenye smart phone hawazidi 100 ,ila maisha yanaendelea mkuu na karibu sana ujionee uhalisi wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…