Kwanini vyombo vya habari bado vinaripoti kwa 'machale' taarifa za vyama vya siasa vya upinzani?

Halafu hayo hayo maandishi ya habari yakikutana na dhahma yanataka viongozi wa upinzani wawapiganie na kuwasemea!
Hakuna kundi kubwa lililojaa wanafiki kama waandishi wa habari, ni wachache sana wenye misimamo yao ya dhati wengi ni machawa waendekeza bahasha na mbeleko.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pasko (a.k.a) njaa yuko kwenye hilo kundi. 🤣🤣🤣
 
Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6 Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya 5 ya Mwendazake.

Lakini jambo la ajabu ninaloliona ni Kwa vyombo vya habari nchini, kuendelea kutoa taarifa za vyama vya kisiasa vya upinzani Kwa "machale" makubwa.

Inafahamika pia kuwa vyombo vya habari ni Mhimili wa 4 wa Dola, usio rasmi.

Tunajua pia kuwa vyombo vya habari kama vile luninga ya TBC na gazeti la Habari Leo, ni vyombo vya umma, vinavyoendeshwa Kwa Kodi zetu wananchi wa vyama vyote vya siasa, iwe ni CCM au Chadema, Kwa hiyo vinapaswa vilipiti Kwa usawa habari za vyama vya siasa, bila kufanya upendeleo.

Vinapaswa vyombo vya habari hapa nchini visiwe "biased" wakati wa kuripoti taarifa zao,ziwe za CCM au Chadema, viripoti sawa.

Lakini sivyo vinavyofanya hivi Sasa, kwani mfano TBC inaendeleza mapambio yake ya "kumsifu na kumwabudu" Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Vinapaswa vyombo vya habari hapa nchini, viige mfano wa nchi jirani ya Kenya, namna vinavyoripoti taarifa ya vyama vya kisiasa nchini mwao bila upendeleo.

Tulijionea wakati wa uchaguzi Mkuu uliopita wa Kenya namna vyombo vya habari vya nchi hiyo vilivyokuwa huru, wakiripoti mubashara, shughuli za kisiasa, ziwe za chama tawala au vyama vya upinzani.

Utashangas hapa nchini kwetu, Kwa tukio dogo kabisa linalofanywa na Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu Hassan inarushwa mubashara na luninga ya Taifa, wakati hotuba ya viongozi wa kitaifa wakihitubia, hawaonyeshi mubashara!

Kama kweli Taifa letu linataka kukuza Demokrasia nchini, basi vyombo vya habari nchini, vinapaswa vibadilike katika utendaji wake.

Kwani LAZIMA vifahamu kuwa enzi zile za kutishiwa kufungiwa, kama vilivyokuwa vikifanyiwa na utawala wa awamu ya 5, hadi kutishwa kuwa "you don't have that freedom to that extent" umeshapitwa na wakati.

Mungu ibariki Tanzania
Asilimia kubwa ya vyombo vya habari vinamilikiwa na mafisadi wa CCM na vilianzishwa kwa mitaji ya kifisadi ili kulinda ulaji wao
 
Sasa wewe unaweza ripoti ujinga wa majitu yasiyoelewa uchumi eti Samia kakopa Til 30 ndani ya miaka 2 na haijulikani zimefanya nini..,eti ukiuliza wametumia bil.600 kununua magari.

Sasa wajinga kama Hawa wasiolewa wanachofanya utaripoti nini? Hao ni wazushi na wajinga.

Walipo hapo hawaelewi hata maana ya deni ya serikali na deni la Taifa Wala expressions za hizo economic terminologies,then Heche anasema kwao Kuna wasomi 😁😁😁😁

Toka alivyokndoka Zito hawana hata mtu mmja aliyesoma Uchumi kuwadadavulia masuala ya uchumi,wote ni wapiga porojo tuu.
 
Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6 Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya 5 ya Mwendazake.

Lakini jambo la ajabu ninaloliona ni Kwa vyombo vya habari nchini, kuendelea kutoa taarifa za vyama vya kisiasa vya upinzani Kwa "machale" makubwa.

Inafahamika pia kuwa vyombo vya habari ni Mhimili wa 4 wa Dola, usio rasmi.

Tunajua pia kuwa vyombo vya habari kama vile luninga ya TBC na gazeti la Habari Leo, ni vyombo vya umma, vinavyoendeshwa Kwa Kodi zetu wananchi wa vyama vyote vya siasa, iwe ni CCM au Chadema, Kwa hiyo vinapaswa vilipiti Kwa usawa habari za vyama vya siasa, bila kufanya upendeleo.

Vinapaswa vyombo vya habari hapa nchini visiwe "biased" wakati wa kuripoti taarifa zao,ziwe za CCM au Chadema, viripoti sawa.

Lakini sivyo vinavyofanya hivi Sasa, kwani mfano TBC inaendeleza mapambio yake ya "kumsifu na kumwabudu" Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Vinapaswa vyombo vya habari hapa nchini, viige mfano wa nchi jirani ya Kenya, namna vinavyoripoti taarifa ya vyama vya kisiasa nchini mwao bila upendeleo.

Tulijionea wakati wa uchaguzi Mkuu uliopita wa Kenya namna vyombo vya habari vya nchi hiyo vilivyokuwa huru, wakiripoti mubashara, shughuli za kisiasa, ziwe za chama tawala au vyama vya upinzani.

Utashangas hapa nchini kwetu, Kwa tukio dogo kabisa linalofanywa na Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu Hassan inarushwa mubashara na luninga ya Taifa, wakati hotuba ya viongozi wa kitaifa wakihitubia, hawaonyeshi mubashara!

Kama kweli Taifa letu linataka kukuza Demokrasia nchini, basi vyombo vya habari nchini, vinapaswa vibadilike katika utendaji wake.

Kwani LAZIMA vifahamu kuwa enzi zile za kutishiwa kufungiwa, kama vilivyokuwa vikifanyiwa na utawala wa awamu ya 5, hadi kutishwa kuwa "you don't have that freedom to that extent" umeshapitwa na wakati.

Mungu ibariki Tanzania
HABARI ZA MIKUTANO YA VYAMA HASA CHADEMA ZINAANDIKA KWA MAANDISHI MADOGO KAMA VILE HAZINA UZITO
 
Acha ujinga kijana, utatumiwa na wanasiasa uchwara hadi lini? Mbona mnaendekeza malalamiko yasiokuwa na msingi? Hata kama uchawa lkn muda mungine mpunguze kidogo mahaba yasiokuwa na tija kwa vyama vyenu na waajiri wenu wanaowatuma kuandika upuuzi mitandaoni.

Kama vyama vinakosa wahudhuriaji wa mikutano kama tulivyoona Mwanza na Musoma hilo sio tatizo la wanahabari bali ni tatizo la walamba asali kupoteza sifa kwa wananchi na wale wanaowaongoza katika vyama vyao.

Unafikiri ni mwananchi gani mwenye akili zake ataacha shughuli zake aje awasikilize wanasiasa uchwara? Watu wengi wamejifunza kupitia siasa za majitaka za enzi za kuwachafua kina Lowasa bila ushahidi na hadi ule mchakato wa 2015 katika uchaguzi mkuu. So sio rahisi kudanganyika tena.

Watanzania sio wasahaulifu kihivo.
Well said & Plain truth mkuu.
 
Sasa wewe unaweza ripoti ujinga wa majitu yasiyoelewa uchumi eti Samia kakopa Til 30 ndani ya miaka 2 na haijulikani zimefanya nini..,eti ukiuliza wametumia bil.600 kununua magari.

Sasa wajinga kama Hawa wasiolewa wanachofanya utaripoti nini? Hao ni wazushi na wajinga.

Walipo hapo hawaelewi hata maana ya deni ya serikali na deni la Taifa Wala expressions za hizo economic terminologies,then Heche anasema kwao Kuna wasomi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Toka alivyokndoka Zito hawana hata mtu mmja aliyesoma Uchumi kuwadadavulia masuala ya uchumi,wote ni wapiga porojo tuu.
Hiii nchi ina wajinga wengi sana ila wewe ni moja ya wapumbavu walioshiba elimu ya kata
 
Anzisheni Chadema Media Television!

Mnashindwa na Haji Manara,ambae hana hara miaka mingi ya harakati kama nyinyi?

Hao mnaowaiga Demokrasia yao ,wana Media Platforms zao.hawategemei media za wengine!

Huko Kenya unaposifia ni kwa sababu hujui ni nani anamiliki KTN-NEWS,CITIZEN TV,na NTV-KENYA.

Siku ukijua ndio utajua kwamba ulikuwa hujui.

Halafu hata Media wana andika Point zenye hoja,nyingi mpaka sasa mnaendelea kutukana Magufuli pekee!

Tuliwaambia mje na hoja ndio mtapata support toka kwa Wananchi,ila mnashupaza shingo!

Time will Tell & Teach you a lesson!
 
😇😇😌
Biased? Hata kutaja Hayati J.P.M imekushinda.

Haya jamani. Tutafika. Lakini sijawahi kuona nchi yeyote inayohangaika kuweka wapinzani wao mbele. Ukidai waanzishe T.V yao wenyewe halafu wakataliwe kuonyesha mubashara, ntakuelewa. Zaidi ya hapo utasubiri sana.

Chadema wana vitengo vyao vya habari. Angalia Chadema Digital wapo Yuuutubu. bureee

Usizushe
Huu sio ukweli mkuu,TBC sio mali ya ccm,chombo hiki kinachukua kodi regardless upo chama gani, ni muhimu wakawa neutral, ila kuna vyombo binafsi ambavyo vimeshajipambanua vipo mlengo gani kisiasa, CNN wote tuliona ilikua pro Democratic kwenye uchaguzi wa US na Fox News ilikua pro Republicans, ila hizi channels zipo kibiashara na za kibinafsi, sawa na gazeti la Uhuru hapa nchini, ila ninashangaa zaidi kuona nipashe, mwananchi zikijifanya ni neutral kumbe zipo misimamo yao kisiasa, haina haja ya kuficha
 
Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6 Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya 5 ya Mwendazake.

Lakini jambo la ajabu ninaloliona ni Kwa vyombo vya habari nchini, kuendelea kutoa taarifa za vyama vya kisiasa vya upinzani Kwa "machale" makubwa.

Inafahamika pia kuwa vyombo vya habari ni Mhimili wa 4 wa Dola, usio rasmi.

Tunajua pia kuwa vyombo vya habari kama vile luninga ya TBC na gazeti la Habari Leo, ni vyombo vya umma, vinavyoendeshwa Kwa Kodi zetu wananchi wa vyama vyote vya siasa, iwe ni CCM au Chadema, Kwa hiyo vinapaswa vilipiti Kwa usawa habari za vyama vya siasa, bila kufanya upendeleo.

Vinapaswa vyombo vya habari hapa nchini visiwe "biased" wakati wa kuripoti taarifa zao,ziwe za CCM au Chadema, viripoti sawa.

Lakini sivyo vinavyofanya hivi Sasa, kwani mfano TBC inaendeleza mapambio yake ya "kumsifu na kumwabudu" Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Vinapaswa vyombo vya habari hapa nchini, viige mfano wa nchi jirani ya Kenya, namna vinavyoripoti taarifa ya vyama vya kisiasa nchini mwao bila upendeleo.

Tulijionea wakati wa uchaguzi Mkuu uliopita wa Kenya namna vyombo vya habari vya nchi hiyo vilivyokuwa huru, wakiripoti mubashara, shughuli za kisiasa, ziwe za chama tawala au vyama vya upinzani.

Utashangas hapa nchini kwetu, Kwa tukio dogo kabisa linalofanywa na Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu Hassan inarushwa mubashara na luninga ya Taifa, wakati hotuba ya viongozi wa kitaifa wakihitubia, hawaonyeshi mubashara!

Kama kweli Taifa letu linataka kukuza Demokrasia nchini, basi vyombo vya habari nchini, vinapaswa vibadilike katika utendaji wake.

Kwani LAZIMA vifahamu kuwa enzi zile za kutishiwa kufungiwa, kama vilivyokuwa vikifanyiwa na utawala wa awamu ya 5, hadi kutishwa kuwa "you don't have that freedom to that extent" umeshapitwa na wakati.

Mungu ibariki Tanzania
Umesau zile sheria za mwendo kasi ,zilizotungwa eneo hili la habari na uhuru wa habari?Je umesahau fungia fungia vyombo vya habari,pamoja na faini za mwendo kasi kama namna ya kuwalinda watawala na chama chao na matendo yao,Usisahau kama bado Tanzania ni ile ile na watu ni wale wale,Kwa hakika bado tuna safari ndefu na ngumu kutoka tulipo kwamia🤔
 
Acha ujinga kijana, utatumiwa na wanasiasa uchwara hadi lini? Mbona mnaendekeza malalamiko yasiokuwa na msingi? Hata kama uchawa lkn muda mungine mpunguze kidogo mahaba yasiokuwa na tija kwa vyama vyenu na waajiri wenu wanaowatuma kuandika upuuzi mitandaoni.

Kama vyama vinakosa wahudhuriaji wa mikutano kama tulivyoona Mwanza na Musoma hilo sio tatizo la wanahabari bali ni tatizo la walamba asali kupoteza sifa kwa wananchi na wale wanaowaongoza katika vyama vyao.

Unafikiri ni mwananchi gani mwenye akili zake ataacha shughuli zake aje awasikilize wanasiasa uchwara? Watu wengi wamejifunza kupitia siasa za majitaka za enzi za kuwachafua kina Lowasa bila ushahidi na hadi ule mchakato wa 2015 katika uchaguzi mkuu. So sio rahisi kudanganyika tena.

Watanzania sio wasahaulifu kihivo.
Pia usisahau kutuambia na wewe unaifanya kazi ya nani?
 
Huu sio ukweli mkuu,TBC sio mali ya ccm,chombo hiki kinachukua kodi regardless upo chama gani, ni muhimu wakawa neutral, ila kuna vyombo binafsi ambavyo vimeshajipambanua vipo mlengo gani kisiasa, CNN wote tuliona ilikua pro Democratic kwenye uchaguzi wa US na Fox News ilikua pro Republicans, ila hizi channels zipo kibiashara na za kibinafsi, sawa na gazeti la Uhuru hapa nchini, ila ninashangaa zaidi kuona nipashe, mwananchi zikijifanya ni neutral kumbe zipo misimamo yao kisiasa, haina haja ya kuficha
Sawa Mkuu,

Lakini si kuna CHADEMA Digital? Kuangalia Mubashara?

kwani CNN siyo ya taifa? mda wote naamini ni habari za amerikani yaani kule kwenye usawa basi kila kitu usawa, au najichanganya? Sio ndio Demekrasia

Unaonaje TBC iuzwe au waigawe kwa vyama vyote?
 
Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6 Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya 5 ya Mwendazake.

Lakini jambo la ajabu ninaloliona ni Kwa vyombo vya habari nchini, kuendelea kutoa taarifa za vyama vya kisiasa vya upinzani Kwa "machale" makubwa.

Inafahamika pia kuwa vyombo vya habari ni Mhimili wa 4 wa Dola, usio rasmi.

Tunajua pia kuwa vyombo vya habari kama vile luninga ya TBC na gazeti la Habari Leo, ni vyombo vya umma, vinavyoendeshwa Kwa Kodi zetu wananchi wa vyama vyote vya siasa, iwe ni CCM au Chadema, Kwa hiyo vinapaswa vilipiti Kwa usawa habari za vyama vya siasa, bila kufanya upendeleo.

Vinapaswa vyombo vya habari hapa nchini visiwe "biased" wakati wa kuripoti taarifa zao,ziwe za CCM au Chadema, viripoti sawa.

Lakini sivyo vinavyofanya hivi Sasa, kwani mfano TBC inaendeleza mapambio yake ya "kumsifu na kumwabudu" Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Vinapaswa vyombo vya habari hapa nchini, viige mfano wa nchi jirani ya Kenya, namna vinavyoripoti taarifa ya vyama vya kisiasa nchini mwao bila upendeleo.

Tulijionea wakati wa uchaguzi Mkuu uliopita wa Kenya namna vyombo vya habari vya nchi hiyo vilivyokuwa huru, wakiripoti mubashara, shughuli za kisiasa, ziwe za chama tawala au vyama vya upinzani.

Utashangas hapa nchini kwetu, Kwa tukio dogo kabisa linalofanywa na Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu Hassan inarushwa mubashara na luninga ya Taifa, wakati hotuba ya viongozi wa kitaifa wakihitubia, hawaonyeshi mubashara!

Kama kweli Taifa letu linataka kukuza Demokrasia nchini, basi vyombo vya habari nchini, vinapaswa vibadilike katika utendaji wake.

Kwani LAZIMA vifahamu kuwa enzi zile za kutishiwa kufungiwa, kama vilivyokuwa vikifanyiwa na utawala wa awamu ya 5, hadi kutishwa kuwa "you don't have that freedom to that extent" umeshapitwa na wakati.

Mungu ibariki Tanzania
Mkiniparua nawaparura 🤣 !!
 
Sasa wewe unaweza ripoti ujinga wa majitu yasiyoelewa uchumi eti Samia kakopa Til 30 ndani ya miaka 2 na haijulikani zimefanya nini..,eti ukiuliza wametumia bil.600 kununua magari.

Sasa wajinga kama Hawa wasiolewa wanachofanya utaripoti nini? Hao ni wazushi na wajinga.

Walipo hapo hawaelewi hata maana ya deni ya serikali na deni la Taifa Wala expressions za hizo economic terminologies,then Heche anasema kwao Kuna wasomi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Toka alivyokndoka Zito hawana hata mtu mmja aliyesoma Uchumi kuwadadavulia masuala ya uchumi,wote ni wapiga porojo tuu.
Daaah!!
Zao la shule za kata.
Pole sana kwako, pole kwa familia, pole kwa jamii inayokuzunguka na pole kwa taifa kwa ujumla kwa kuwa "aibu".
 
Nyie machadomo ni majinga mno,Hadi Sasa hakuna hoja ya maana mumetoa na way forward.

Kajifunzeni Act kuchambua taarifa za kiuchumi
 
Anzisheni Chadema Media Television!

Mnashindwa na Haji Manara,ambae hana hara miaka mingi ya harakati kama nyinyi?

Hao mnaowaiga Demokrasia yao ,wana Media Platforms zao.hawategemei media za wengine!

Huko Kenya unaposifia ni kwa sababu hujui ni nani anamiliki KTN-NEWS,CITIZEN TV,na NTV-KENYA.

Siku ukijua ndio utajua kwamba ulikuwa hujui.

Halafu hata Media wana andika Point zenye hoja,nyingi mpaka sasa mnaendelea kutukana Magufuli pekee!

Tuliwaambia mje na hoja ndio mtapata support toka kwa Wananchi,ila mnashupaza shingo!

Time will Tell & Teach you a lesson!
Hivi wewe voicer ni CHADEMA kumbee!!???
Maana nasoma mara kwa mara kuwa hapa jukwaani wana CHADEMA ndio wanaomtaja sana na mara kwa mara JPM,sasa wewe kila comment yako lazima umtaje huyo mwendazake!
 
Sawa Mkuu,

Lakini si kuna CHADEMA Digital? Kuangalia Mubashara?

kwani CNN siyo ya taifa? mda wote naamini ni habari za amerikani yaani kule kwenye usawa basi kila kitu usawa, au najichanganya? Sio ndio Demekrasia

Unaonaje TBC iuzwe au waigawe kwa vyama

Sawa Mkuu,

Lakini si kuna CHADEMA Digital? Kuangalia Mubashara?

kwani CNN siyo ya taifa? mda wote naamini ni habari za amerikani yaani kule kwenye usawa basi kila kitu usawa, au najichanganya? Sio ndio Demekrasia

Unaonaje TBC iuzwe au waigawe kwa vyama vyote?
CNN haimilikiwi na serikali ya USA, na raia wake hawatoi kodi yao eti kwenda kutumika CNN na hivyo hivyo kwa Fox News, ila TVs hizi zina misimamo yao kisiasa na ni haki yao,TBC ni TV ya Taifa,watanzania wote wanalipa kodi towards TV hii,means impartial ilitakiwa iwe ni key hapa, ukienda hapo SA wana SABC hawa nao ni kama TBC ,ila SABC wapo impartial ndio maana hata CIC Malema anaweza kuitumia hii kuichana serikali,CDM digital sikushangai middle class wewe kufikiria hivyo, maana mpo mbali na yaliyopo on the ground, mkifika kwenye miji mnajifanya mmesahau mlikotoka,Huku lingusenguse wenye smart phone hawazidi 100 ,ila maisha yanaendelea mkuu na karibu sana ujionee uhalisi wa maisha
 
Back
Top Bottom