HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Je,yana faida au hasara kwetu??
Mbona wewe unatumia simu ya mchina na usafiri wa mjapani...Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
ni makombo ya ukoloniJe,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Ujinga ulionao ni 100G ,hivi nimeongelea vitu au majina ?Mbona wewe unatumia simu ya mchina na usafiri wa mjapani...
Mitumba ya wazungu
Si utumie punda au fisi Na uvae ngozi
🤣🤣🤣Wewe mjinga acha kujifariji ... Kiufupi hujielewi kafie mbele huko!Ujinga ulionao ni 100G ,hivi nimeongelea vitu au majina ?
Kuna simu au gari la mzungu lenye jina na maana ya Afrika??
Ebu acha undezi basi,ni wazungu au warabu kwa % ngapi wanatumia majina yenye asili ya Afrika?
Mjinga ni wewe unayerukia mada pasipo kuhusu nimelenga MAJINA ya kiarabu na kizungu na siyo SHERIA za kiarabu au kizungu,acha utumwa basi,shut!Sheria zako za nchi zimeandikwa kingereza 🤣🤣 Elimu unasoma kingereza 🤣🤣unaongelea ujinga ili uwe msomi lazima ujue kingereza .
Kama unaona uchungu kwa hiki nilicholeta wape wazungu na warabu mama yako wamtumie kama unavyotumia majina yao.🤣🤣🤣Wewe mjinga acha kujifariji ... Kiufupi hujielewi kafie mbele huko!
Jina tu unaleta uzi ,hivyo unavyotumia vingine?
Mtumwa kama wewe huwezielewa umuhimu wa huu uzi kwa sasa kwani bado una akili za mwaka 1949 na hujui unakotoka ,ulipo au unakoenda,umewahi sikia mwarabu anaitwa masanja,kaduguda,mlilo,heche,nk??🤣🤣🤣Wewe mjinga acha kujifariji ... Kiufupi hujielewi kafie mbele huko!
Jina tu unaleta uzi ,hivyo unavyotumia vingine?
Fala kichwa kina maji mengi🤣🤣🤣 unahukumiwa kwa sheria za kizungu kajambe mbel huko... Tatizo la kutoka kijijiniMjinga ni wewe unayerukia mada pasipo kuhusu nimelenga MAJINA ya kiarabu na kizungu na siyo SHERIA za kiarabu au kizungu,acha utumwa basi,shut!
Kama unaona uchungu kwa hiki nilicholeta wape wazungu na warabu mama yako wamtumie kama unavyotumia majina yao.
Uzi huu ni kwa wanaojitambua na siyo wasiojitambua bali wana simu kama wewe.
Mtumwa kama wewe huwezi kujua umuhimu wa huu uzi hata ukitokewa bikira ya masikio.
Mtumwa unasomeshwa kingereza 🤣🤣🤣kila kitu umeletww mpaka nguzo ilizovaa hapo .Mtumwa kama wewe huwezielewa umuhimu wa huu uzi kwa sasa kwani bado una akili za mwaka 1949 na hujui unakotoka ,ulipo au unakoenda,umewahi sikia mwarabu anaitwa masanja,kaduguda,mlilo,heche,nk??
Hata kudadisi huwezi kwa kuwa ni maiti.
"Ukiwaondoa wahindi na waarabu ,waswahili wenye pesa ni wa kuwahesabu halafu weekend angalia nyendo zao ni kuchukua wake za watu na kutaka mambo nje ya uwezo wao" - Kunani PaleJe,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Ni mwendelezo wa utumwa, huu sasa ni utumwa wa hiari. Ni wachache wanaliona hili.Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Mtu mweusi ndio mbulula wa kwanza hapa Duniani hana utamaduni wake.Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Maana ya Afrika ni kama ipi. nitajie angalau 3Kuna simu au gari la mzungu lenye jina na maana ya Afrika??
Kwani neno Afrika limetoka wapi isijekuwa tumepewa na wazungu pia🏃🏃Maana ya Afrika ni kama ipi. nitajie angalau 3
Kuhiji macca, Jerusalem! Ukienda songea kwa mahoka unaambiwa unatambika, mshenzi.Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Mwamba una mada nzuri ila unachokosea ni haya majibu yako ya hasira. Elekeza watu vizuri hata kama wapo kinyume na mawazo yako, acha jeuri, tetea hoja.....kufikia mwaka 2500 Africa hakutakuwa na mtu anajiita jina la kiafrika. Hili lipo wazi.Mtumwa kama wewe huwezielewa umuhimu wa huu uzi kwa sasa kwani bado una akili za mwaka 1949 na hujui unakotoka ,ulipo au unakoenda,umewahi sikia mwarabu anaitwa masanja,kaduguda,mlilo,heche,nk??
Hata kudadisi huwezi kwa kuwa ni maiti.