Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Dini zilitudanganya Sana, ilifika wakati mfano, kwa, wakoriki, ilikuwa, huwezi, kubatiza, mtoto kwa, jina,la, kabila lako,miaka ya, 80,90,lakini, baadae, baada ya kupata ufahamu siku hz unaweza, kubatiza, kwa, jina, lolote unalotaka, kwa, ukristo, tunabatiza watoto kwa, majina, ya, watakatifu, ambao wengi walikuwa, jews, na tunatumia majina ya, kizungu maana ukristo uliletwa, na, wazungu, na majina ya, kiarab kwa sababu uislam uliletwa na waarab,
Lakini tatizo letu kubwa wa Afrika ni zaidi ya majina gani tunatumia, majina sio shida,
Kama una viongozi, wapo tayari kuiba rasilimali ya umma kama mafuta, gesi ili iwanufaishe wao na familia zao, na kuacha nchi nzima kwenye umaskini wa kutisha, tatizo sio majina,naigeria inachimba mafuta, lakini ndani ya nchi Luna uhaba wa mafuta,! Nchi, kama Qatar inachimba mafuta, makampuni Yale Yale yanayochimba nigeria, ndio yanachimba Qatar, lakini wana nchi wa Qatar wananufaika zaidi,
Dangote ameanzisha kiwanda kikubwa cha kuchakata mafuta ghafi,ili yasipelekwe nje, akakitana na vikwazo vingi kutoka kwa serikali ya nigeria,!
Ni kama hapa kwetu, kwanini muanzilishi, wa NALA alipoomba aanzishe kiwanda hapa bongo, akawekewa, kauzibe! Akaomba afundishe IT bure udsm, akazuiwa!
Yaani, tunakataa kijana anaye temgeneza mifumo ya tehama kufundisha chuo, lakini tunakubali kufindishwa,na, academician,waliokariri mavitu, hawaajawahi, hata kutengeneza app! Tatizo sio, majina