Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

Ni mwendelezo wa utumwa, huu sasa ni utumwa wa hiari. Ni wachache wanaliona hili.
Umewahi kujiuliza kwanini mtu aitwe Happiness na sio Furaha? Au Grace badala ya Neema?
Kwanini unakunya kwemye vyoo vya "sink na shimo" ambavyo wazungu wamewaletea na kuwafundiah na hunyi kama babu zako waliokuwa wanakunya kwenye mapori na kutawaza kwa magunzi au kusugua makalionkwenye mchanga?

😁😁😁
 
Sidhani kama nahitaji mjadala nawe.
Hata hivyo, kutumia vyoo wa "sink na shimo", kama uliyooviita, ni sehemu ya maendeleo na kustaarabika. Sasa sijui utaniambia kwamba kutumia majina ya kizungu na kiarabu nako ni maendeleo na ustaarabu?!
 
Kwanini unakunya kwemye vyoo vya "sink na shimo" ambavyo wazungu wamewaletea na kuwafundiah na hunyi kama babu zako waliokuwa wanakunya kwenye mapori na kutawaza kwa magunzi au kusugua makalionkwenye mchanga?

😁😁😁
Waarabu ndio walikua wanachamba mawe(kustanji) fatilia,ustaarab umwanzia afrika ,acha ubwege na akili zako za kiutumwa.hata hayo masinki asili yake ni afrika huko arabuni na ulaya hakuna madini ya kutengeneza hizo sinki
 
Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?

Je,yana faida au hasara kwetu??
Ubatizo mwanangu, RC wameenda mbali wana majina yao siyo kila jina wao wanaita majina ya watakatifu wao kwamba usipolichagua jina la mtakatifu nani atakuombea? Baba watu wameliwa vichwa kwerikweri.
 
Mbona china wanatengeneza simu na hawana majina ya kizungu wala kiarabu
Viwanda vya China sio vya wachina tafuta kujua sababu Kuna viwanda vingi china....

Ila China imekuwa juzijuzi na wao kwa sasa wanameanza kupenyeza tamaduni zao mfano Kuna radio ya China kwa kiswahili, Film nyingi za kichina kwa sasa kuna lugha ya kichina wanafundisha vyuoni pia tamaduni zao na polepole watafika kwenye majina..
 
Jina na hvyo vt havina uhusiano, hakuna mtu amejiita Samsung kwa kuwa amenunua hiyo sm
Duuh uko out of point...
Wala sijasema mtu ajiite Samsung..
Vitu vinahusiano wa moja kwa moja na utamaduni wa waliotengeneza...
 
Waarabu ndio walikua wanachamba mawe(kustanji) fatilia,ustaarab umwanzia afrika ,acha ubwege na akili zako za kiutumwa.hata hayo masinki asili yake ni afrika huko arabuni na ulaya hakuna madini ya kutengeneza hizo sinki
Afrika gani hiyo mkuu? Naomba jibu kama hutojali.
 
Kwanini unakunya kwemye vyoo vya "sink na shimo" ambavyo wazungu wamewaletea na kuwafundiah na hunyi kama babu zako waliokuwa wanakunya kwenye mapori na kutawaza kwa magunzi au kusugua makalionkwenye mchanga?

😁😁😁
Kwa hiyo kunya kwenye vyoo vya sink na mashimo ndiko kunakufanya utumie majina ya kizungu na kiarabu??

Wewe ni mzoga hufai kuitwa maiti!!
 
Naunga mkono hoja. Tumekuwa wajinga sana waafrika. Hadi majina tunaomba misaada kutoka nje, tupo sawasawa kweli?
Naomba tubadilike.
 
Back
Top Bottom