Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

Wakiitwa WATU na wewe utajitokeza kweli hata mbayuwayu hana akili hizo na sijui ulichochangia kama kinaendana na nilichoweka humu.

Kwahiyo dunia nzima wanatumia alfabeti za wazungu?huko china,japani,korea,nk wanatumia alfabeti za hao wanaume zako eti.

Acha kuwa mtumwa wa kifikira ninachoongelea hapa ni MAJINA na siyo alfabeti ni bora kama huna kazi ukajitolee kwa watoto yatima kuliko kuvamia mada za wanaume usivyokuwa na akili
nimekuelewa madam sitorudia tena, mumeo ni mbabe sana
 
Kwanza inaonekana uelewa wako ni mdogo hata kuhusiana na hoja yako.

Somo fupi, likusaidie siku nyingine kujenga hoja kwa KUZINGATIA UKWELI:

1. Majina wanayoyatumia wazungu na Waafrika, yaliyo mengi, asili yake ni Mashariki ya kati. Wazungu waliyachukua majina hayo kutokea Mashariki ya kati, kwa kuchukua majina ambayo yalionekana kuwa na alama katika ukristo.

Kwa wazungu, leo utasikia jina Peter, limetoholewa kutoka jina la Petera (mwamba).

John Limetoholewa toka jina Jina Yochnan (Mungu ni mwema) kwenye lugha ya Kiebrania.

Michael kutoka jina la Mika el (nani kama Mungu)

Melchizedek kutoka jina la Kiebrania Malki Tzedeck ( Mfalme wangu wa haki)

Mary limetokana na jina la kiebrania Miryan (bahari ya Mateso - waisrael wakikumbuka mateso walipokuwa utumwani Babylon).

Nasi tumeyarithi majina haya siyo kwaajili ya kuwatukuza wazungu bali ama kumtukuza Mungu au kuwapa heshima watu asilia wa majina haya katika maisha yao ya kumtukuza Mungu.

Sawa sasa ni wakati wasisi kuijiita majina yeytu, atalisti tuwe na Cha kwetu, kama ulivyo ugali mlenda pitiku nsanza kande matabolwa. hiyo ni mifano ya vyakula ambavyo wenzetu wakija huku hependa kuvijua na wakati mwingine huingia google. Unajisikia raha mzungu anakuuliza nini hiyo. Kwani ukitwa Pendo, au Tukatele, au Mashaka au Nzagamba, Kadoda, kadala, Shija, Doto huendi mbinguni? Hebu tutafakati Kwa makini majina ya kiyahudi au kiaaarabu ni utumwa. Mbona wahindi, wachina wakore wajapani a wameendelea sana lakini Wana tamaduni zao na majina yao vyakula vyao sisi tumelogwa na nani?
 
Mtu mweusi hana utamaduni. Anatembelea tamaduni za race nyingine.
 
Ni mazuri, hakuna mzungu au mwarabu anaeitwa "mateso" "shida" "tabu" na ujinga mwingine wa dizaini hii
 
Back
Top Bottom