Room 28
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,077
- 1,736
Ni utumwaJe,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Ni utumwaJe,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
👍Sheria zako za nchi zimeandikwa kingereza 🤣🤣 Elimu unasoma kingereza 🤣🤣unaongelea ujinga ili uwe msomi lazima ujue kingereza
Kwahiyo waafrika wote watakuwa kina juma,john,issa,magreth,happy,nk?Mwamba una mada nzuri ila unachokosea ni haya majibu yako ya hasira. Elekeza watu vizuri hata kama wapo kinyume na mawazo yako, acha jeuri, tetea hoja.....kufikia mwaka 2500 Africa hakutakuwa na mtu anajiita jina la kiafrika. Hili lipo wazi.
Ushughulishe ubongo wako na usipende kukaa na kutaka kutajiwa kila jambo utaishi kwa utegemezi hadi unaingia kaburini kama hujui hata majina ya kiafrika na maana zake,shit hole!!Maana ya Afrika ni kama ipi. nitajie angalau 3
Acha ujinga..
Huo uzungu ndio umekuwezesha kuwa hapa online na hicho kifaa na vitu unavyotumia
La sivyo ungekuwa unacheza ngoma ukiwa uchi kwa chifu sasa hivi..
Majina ni utumwa mbaya sana utumwa wote.ukiwa muislam unabanwa utumie majina yao hivyo hivyo na ukristo.ukitumia ya asili unaambiwa yana laana ya mizimu.waafrika tunatia huruma sana.mmatumbi unakuta anaitwa MacDonald basi anajisikia huyo.Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
senge kweli wewe naona unatumia na matusi ya kizungu kabisa. Inasikitisha sana kuona takataka kama wewe bado mnaziliwa tu kwenye Taifa hili. aya waambie babu zako wavumbue na alphabets za kiafrika uzitumie uachane na hizi za wazungu, shit hole!!.Ushughulishe ubongo wako na usipende kukaa na kutaka kutajiwa kila jambo utaishi kwa utegemezi hadi unaingia kaburini kama hujui hata majina ya kiafrika na maana zake,shit hole!!
Je sheria za korea,china,india,japani,nk nazo zimeandikwa kwa kiingereza?ukiwa mjinga usiwaambukize wengine umaiti wako,shit!!
senge kweli wewe naona unatumia na matusi ya kizungu kabisa. Inasikitisha sana kuona takataka kama wewe bado mnaziliwa tu kwenye Taifa hili. aya waambie babu zako wavumbue na alphabets za kiafrika uzitumie uachane na hizi za wazungu, shit hole!!.
Halafu kiarabu ni lugha ya peponi.Sheria zako za nchi zimeandikwa kingereza 🤣🤣 Elimu unasoma kingereza 🤣🤣unaongelea ujinga ili uwe msomi lazima ujue kingereza .
We jamaa ni kichwa ngumu, cheki hapo mi hata sijapinga mada yako ila bado unaniona mjinga. Hivi umesoma vizuri comment yangu au unakurupuka tu? Hebu kuwa Smart acha upuuzi.Kwahiyo waafrika wote watakuwa kina juma,john,issa,magreth,happy,nk?
Sasa hapa ukijibiwa kulingana na ujinga wako kuwa kuwa wewe ni maiti hujui unatoka wapi na unaenda wapi.
Kwa sasa misikitini na makanisani wanasilimu na kubatiza majina ya KIAFRIKA je hapo majina ya kiafrika yanaongezeka au yanapungua??
Halafu na wewe unawaita kwa jina la wazungu (waafrika).Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Mimi na wewe nani senge iwapo unadiriki kuongopa kuwa kuna matusi ya kiingereza,acha kuvamia mada usizokuwa na uwezo nazo kaolewe!!Wakiitwa WATU na wewe utajitokeza kweli hata mbayuwayu hana akili hizo na sijui ulichochangia kama kinaendana na nilichoweka humu.
Kwahiyo dunia nzima wanatumia alfabeti za wazungu?huko china,japani,korea,nk wanatumia alfabeti za hao wanaume zako eti.
Acha kuwa mtumwa wa kifikira ninachoongelea hapa ni MAJINA na siyo alfabeti ni bora kama huna kazi ukajitolee kwa watoto yatima kuliko kuvamia mada za wanaume usivyokuwa na akili
Kuna waafrika wamebatizwa au kusikimu majina ya kihindi,kichina,kijapani,nk kwa akili zako ndogo?Halafu na wewe unawaita kwa jina la wazungu (waafrika).
Mjinga ni wewe unayerukia mada pasipo kuhusu nimelenga MAJINA ya kiarabu na kizungu na siyo SHERIA za kiarabu au kizungu,acha utumwa basi,shut!
Kama unaona uchungu kwa hiki nilicholeta wape wazungu na warabu mama yako wamtumie kama unavyotumia majina yao.
Uzi huu ni kwa wanaojitambua na siyo wasiojitambua bali wana simu kama wewe.
Mtumwa kama wewe huwezi kujua umuhimu wa huu uzi hata ukitokewa bikira ya masikio.
Kuna waafrika wamebatizwa au kusikimu majina ya kihindi,kichina,kijapani,nk kwa akili zako ndogo?
Ninamaanisha hilo jina "Afrika" ambalo umelitumia ni la kizungu. Wewe una leta mambo ya kihindi.Kuna waafrika wamebatizwa au kusikimu majina ya kihindi,kichina,kijapani,nk kwa akili zako ndogo?
Hakuna haja ya kuwakumbatia wajinga kwa kuremba lugha wakati wa kuwajibu wajinga kama wewe,kuremba na unyenyekevu na nidhamu ya woga kwa wakoloni ndivyo vimewafikisha hapo mlipo na kuendelea kuwa watumwa maisha yenu yote!!Presentation yako na unavyowajibu wachangiaji, unadhihirisha kuna kitu hakipo sawa kwa upande wako. Je, ni upungufu halisia wa akili au ni uwezo mdogo wa kushindwa kudhibiti hamaki?. Kama ni tatizo la akili, basi siyo kosa lako, unastahili msamaha. Lakini kama ni kushindwa kudhibiti hamaki yako, una kazi mbele yako ya kujiuliza mwenendo wako na namna gani utaweza kutawaliwa na hekima badala ya mihemko unapowasiliana na watu. Tambua kuwa mazoe hutengeneza tabia.