Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

Kama unaona ni utumwa basi ondoa na misamiati yenye asili ya kiarabu na hicho unachoita kizungu. Ubaki na kibantu chako
 
Ujinga ulionao ni 100G ,hivi nimeongelea vitu au majina ?

Kuna simu au gari la mzungu lenye jina na maana ya Afrika??

Ebu acha undezi basi,ni wazungu au warabu kwa % ngapi wanatumia majina yenye asili ya Afrika?
Acha ujinga..
Huo uzungu ndio umekuwezesha kuwa hapa online na hicho kifaa na vitu unavyotumia

La sivyo ungekuwa unacheza ngoma ukiwa uchi kwa chifu sasa hivi..
 
Acha ujinga..
Huo uzungu ndio umekuwezesha kuwa hapa online na hicho kifaa na vitu unavyotumia

La sivyo ungekuwa unacheza ngoma ukiwa uchi kwa chifu sasa hivi..
mdingi aanze kuipopoa kwa demu wangu then alete majibu kama anafaa au hafai. KUBABABAKE uafrika ni nyoko
 
Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?

Je,yana faida au hasara kwetu??
Hili ni tatizo la kifikra,watu wengi wanawapa watoto majina hata wasiojua maana yake, litamkike vizuri tu inatosha!

Wa Nigeria na South africa kiasi wameweza kutumia majina yao ya asili, hili ni tatizo pia unakuta mtu anaitwa
Majina yote 3 ya kiingereza,unaweza dhani mzungu,akitokea sasa, black kabisa, unajiuliza...
 
Fala kichwa kina maji mengi🤣🤣🤣 unahukumu kwa sheria za kizungu kajambe mbel huko... Tatizo la kutoka kijijini
Tuiachie jamii ya jf ihukumu kati yangu na wewe nani fala ma kichwa kina maji mengi.

Hivi kwa upumbavu wako ni wapi nimehukumu kwa sheria?

Msiojitambua hamuwezi kujua umuhimu wa majina ya asili ambayo 90% ya Waafrika wanayatumia kama majina ya uko,kama ungekuwa na akili basi ulipaswa kujiuliza kwanza swali kwanini wajinga mliowengi mnatumia majina ya kwanza ya kizungu lakini majina ya mwisho mnatumia ya KIAFRIKA.

Mtumwa wa fikra kama wewe usiyejitambua huwezi kijua umuhimu wa kutumia manina ya ASILI YA KIAFRIKA iwapo watu wenye akili kama waBurkina Faso wameweza kubadili jina la nchi yao na mitaa yake sasa wewe usiye na akili hata moja una nafasi ipi katika ukombozi wa Afrika?

Nakushauri uolewe mapema ili ulelewe katika Uafrika na siyo uzungu,bullshit!!
 
Kasome sheria za mhakamani zinaandikwa kwa lugha gani ? Hata kutungwa nyingi zinatokea nje , demokrasia ni nje kila kitu mpaka hiyo unayoita elimu ni kutoka nje
 
Hili ni tatizo la kifikra,watu wengi wanawapa watoto majina hata wasiojua maana yake, litamkike vizuri tu inatosha!

Wa Nigeria na South africa kiasi wameweza kutumia majina yao ya asili, hili ni tatizo pia unakuta mtu anaitwa
Majina yote 3 ya kiingereza,unaweza dhani mzungu,akitokea sasa, black kabisa, unajiuliza...
Siyo hivyo tu yaani kuna mgongano wa majina ya kizungu utakuta kwa waislam "abdalah juma abdalah" watatu ambao ni watu tofauti lakini utashindwa kuwatofautisha kwa sababu hawana majina ya UKOO ambapo wangeweza kuwa "andalah juma mwakembe","abdalah jumamushi" na "abdalah juma mzindakaya"" au
kwa wakristo "john mathias michael" watatu uyawatogautishaje??

Wazanzibar tayari wameanza kuona athari ya majina haya ya kijnga na kupotea kwa ukoo

Lakini utakuta mjinga mmoja anajiiya "Tanganian ' anakuja humu na kudai anaakili sana kwa kutetea majina ya kizungu,huo ndiyo uzalendo?
 
Wao walianza mapema sana kuungana na kutoa mifarakano ya kaya, koo na makabila.
Wakawa na lugha moja mapema, mipaka, sheria nk na hivyo kuwahi kuyajua matatizo yao mapema kwa umoja, kuishi nayo na sayansi ya kuyatatua.

Mpaka hizo dini, wao walizianza kuishi nazo mapema kabla yetu, ilikua rahisi kutushawishi tuzipende.

Sisi mpaka tunapata uhuru bado hatukua wamoja, wao ndio wametuunganisha, sio kwa matakwq yetu bali ni kwa jinsi wao walivyoona inafaa.
 
Mwamba una mada nzuri ila unachokosea ni haya majibu yako ya hasira. Elekeza watu vizuri hata kama wapo kinyume na mawazo yako, acha jeuri, tetea hoja.....kufikia mwaka 2500 Africa hakutakuwa na mtu anajiita jina la kiafrika. Hili lipo wazi.
Nadhani wazungu wangekuja Afrika na kutubembeleza basi wasingetimiza malengo yao,sasa iweje niwabembeleze wajinga kama "TANGANIAN" ?

Mobutu aliwahi kutoa amri kila mwanaZAIRE abadili jina lake kutoka la kizungu kuwa la Kiafrika,je Mobutu alikuwa mjinga kuliko TANGANIAN?

IBRAHIM TRAOLE amepitisha kila 15.5 ya kila mwaka kuwa siku ya MILA na DESTURI ndani ya nchi ya Burkina Faso na amebadili majina ya mita kuwa majina ya mashujaa ya wa Burkina Faso pia kabadili mavazi kwa majaji,wanafunzi,nk je hana akili kuliko TANGANIAN?

Watu kama TANGANIAN wasio WAZALENDO WA AFRIKA kwa fikira hasi au ujinga au upumbavu au ukibaraka ndiyo wanaorudisha nyumba PAN AFRIKANISM wanastahili kutukanwa na hata kuuwawa ili kulinda na kurudisha ASILI YETU YA WAAFRIKA.

Wasaliti kama TANGANIAN hawastahili kupumia kwa sasa kwani ndiyo wanashiriki kuwaua viongozi wetu bora.

WAAFRIKA TUAMKE!!
 
Kutumia teknolojia na vumbuzi zao hamna shida. Shida ni kwenye majina. Sio?
Ndiyo,yaani unakuta MWAFRIKA anavumbua kitu halafu anakupa jina la kiongozi wa kizungu i.e:BUSH,TRUMP,LION,nk ilimrasi tu kujipendekeza kwa kutojitambua.

Hivi kweli kulikuwa na umuhimu gani kuwa na ziwa "victoria" au mtaa wa "agrey","livingstone",nk?

Ujinga huu umefika mwisho na watu wanaoutetea wanapaswa kuuwawa kama ambavyo wazungu wanamsaka TRAOLE ili kumuua kupitia kwa wajinga kama TANGANIAN.
 
Wao walianza mapema sana kuungana na kutoa mifarakano ya kaya, koo na makabila.
Wakawa na lugha moja mapema, mipaka, sheria nk na hivyo kuwahi kuyajua matatizo yao mapema kwa umoja, kuishi nayo na sayansi ya kuyatatua.

Mpaka hizo dini, wao walizianza kuishi nazo mapema kabla yetu, ilikua rahisi kutushawishi tuzipende.

Sisi mpaka tunapata uhuru bado hatukua wamoja, wao ndio wametuunganisha, sio kwa matakwq yetu bali ni kwa jinsi wao walivyoona inafaa
Mbona wewe unatumia simu ya mchina na usafiri wa mjapani...
Mitumba ya wazungu

Si utumie punda au fisi Na uvae ngozi
Wewe ni maiti hujitambui simu imeundwa kwa madini 95% kutoka AFRIKA,acha ubwege kama hujui uliza siyo kurukia kila mada humu wakati hupumui.

Kongo hadi leo vita inapiganishwa kwaajili ya simu,uwe na akili siku mojamoja
 
Back
Top Bottom