Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

Mbona wewe unatumia simu ya mchina na usafiri wa mjapani...
Mitumba ya wazungu

Si utumie punda au fisi Na uvae ngozi
Ujinga ulionao ni 100G ,hivi nimeongelea vitu au majina ?

Kuna simu au gari la mzungu lenye jina na maana ya Afrika??

Ebu acha undezi basi,ni wazungu au warabu kwa % ngapi wanatumia majina yenye asili ya Afrika?
 
🀣🀣🀣Wewe mjinga acha kujifariji ... Kiufupi hujielewi kafie mbele huko!

Jina tu unaleta uzi ,hivyo unavyotumia vingine?
 
Sheria zako za nchi zimeandikwa kingereza 🀣🀣 Elimu unasoma kingereza 🀣🀣unaongelea ujinga ili uwe msomi lazima ujue kingereza .
Mjinga ni wewe unayerukia mada pasipo kuhusu nimelenga MAJINA ya kiarabu na kizungu na siyo SHERIA za kiarabu au kizungu,acha utumwa basi,shut!
🀣🀣🀣Wewe mjinga acha kujifariji ... Kiufupi hujielewi kafie mbele huko!

Jina tu unaleta uzi ,hivyo unavyotumia vingine?
Kama unaona uchungu kwa hiki nilicholeta wape wazungu na warabu mama yako wamtumie kama unavyotumia majina yao.

Uzi huu ni kwa wanaojitambua na siyo wasiojitambua bali wana simu kama wewe.

Mtumwa kama wewe huwezi kujua umuhimu wa huu uzi hata ukitokewa bikira ya masikio.
 
🀣🀣🀣Wewe mjinga acha kujifariji ... Kiufupi hujielewi kafie mbele huko!

Jina tu unaleta uzi ,hivyo unavyotumia vingine?
Mtumwa kama wewe huwezielewa umuhimu wa huu uzi kwa sasa kwani bado una akili za mwaka 1949 na hujui unakotoka ,ulipo au unakoenda,umewahi sikia mwarabu anaitwa masanja,kaduguda,mlilo,heche,nk??

Hata kudadisi huwezi kwa kuwa ni maiti.
 
Fala kichwa kina maji mengi🀣🀣🀣 unahukumiwa kwa sheria za kizungu kajambe mbel huko... Tatizo la kutoka kijijini
 
Mtumwa kama wewe huwezielewa umuhimu wa huu uzi kwa sasa kwani bado una akili za mwaka 1949 na hujui unakotoka ,ulipo au unakoenda,umewahi sikia mwarabu anaitwa masanja,kaduguda,mlilo,heche,nk??

Hata kudadisi huwezi kwa kuwa ni maiti.
Mtumwa unasomeshwa kingereza 🀣🀣🀣kila kitu umeletww mpaka nguzo ilizovaa hapo .
 
Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?

Je,yana faida au hasara kwetu??
"Ukiwaondoa wahindi na waarabu ,waswahili wenye pesa ni wa kuwahesabu halafu weekend angalia nyendo zao ni kuchukua wake za watu na kutaka mambo nje ya uwezo wao" - Kunani Pale
 
Watoto wengi ambao wanalelewa na single mothers ndo wanakua Wana majina si tu ya watu wa magharib au ya kiarab Bali pia ya aibu ...

Kuna majina ya aibu Sana wanapewa watoto zetu Huku mitaani. Tena Hasa kwa watoto wetu wa kiume ... Inawaharibia future kimsingi.... As jina linachangia personality ya mtu. ..

Unakuta mtoto wa kiume Kila baada ya nyumba mbili Kuna VANY, CHRISS, JAY, PRINCE, G,

YAN KUNA MDA KITOTO KIKISEMA TU JI A LAKE MIMI NAJUA TU HAKINA BABA.
 
Mtumwa kama wewe huwezielewa umuhimu wa huu uzi kwa sasa kwani bado una akili za mwaka 1949 na hujui unakotoka ,ulipo au unakoenda,umewahi sikia mwarabu anaitwa masanja,kaduguda,mlilo,heche,nk??

Hata kudadisi huwezi kwa kuwa ni maiti.
Mwamba una mada nzuri ila unachokosea ni haya majibu yako ya hasira. Elekeza watu vizuri hata kama wapo kinyume na mawazo yako, acha jeuri, tetea hoja.....kufikia mwaka 2500 Africa hakutakuwa na mtu anajiita jina la kiafrika. Hili lipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…