Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

nimekuelewa madam sitorudia tena, mumeo ni mbabe sana
 

Sawa sasa ni wakati wasisi kuijiita majina yeytu, atalisti tuwe na Cha kwetu, kama ulivyo ugali mlenda pitiku nsanza kande matabolwa. hiyo ni mifano ya vyakula ambavyo wenzetu wakija huku hependa kuvijua na wakati mwingine huingia google. Unajisikia raha mzungu anakuuliza nini hiyo. Kwani ukitwa Pendo, au Tukatele, au Mashaka au Nzagamba, Kadoda, kadala, Shija, Doto huendi mbinguni? Hebu tutafakati Kwa makini majina ya kiyahudi au kiaaarabu ni utumwa. Mbona wahindi, wachina wakore wajapani a wameendelea sana lakini Wana tamaduni zao na majina yao vyakula vyao sisi tumelogwa na nani?
 
Mtu mweusi hana utamaduni. Anatembelea tamaduni za race nyingine.
 
Ni mazuri, hakuna mzungu au mwarabu anaeitwa "mateso" "shida" "tabu" na ujinga mwingine wa dizaini hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…