Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

Mbna wazungu tunaoa bila hayo mashart yako ya kupauka afu ungetuonesha kwanza wabongo 10 wenye wake warabu
Waarabu issue ya kuoa ni nyeti haijalishi wewe ni Mzungu, Mchina, Mweusi ama hata mwarabu.

Kuna waarabu wanaume wanamaliza nyumba hawapewi wake, usije ukafikiri ni treatment ambayo ni exclusive anafanyiwa mtu mweusi.

Ingekuwa waarabu wanaolewa kirahisi na wazungu ama wachina na weusi wanabaniwa hapo ungekuwa na ground.

Na kuna uwezekano waarabu wanaolewa zaidi na weusi kuliko wazungu.
 
mkuu umejitaid kutushawish acha wengn wana kosa point na kujaza mitusi tu wakat hapa ni hoja tu,ubarikiwe[emoji120]
 
jitaid kutushawish mkuu ili tuzd kupata uwiano
 
Waarabu ni wajinga ila sisi waafrika tumepitiliza kwa ujinga hata mimi siwezi kuruhusu kizazi changu kiolewe na watu wajinga
 
Uwiano mkuu,afu nmeish nao sana nawapata vzur[emoji120]
 
Waarabu ni wabaguzi wakubwa sana. Mbaya zaidi wameteka akili za baadhi yetu kwa kuwapa tende, halua na futari wakati wa mfungo badala ya kuwapa elimu
Kati ya Race ambayo haina systematic racism ni waarabu, mwarabu hafikirii kwamba mweusi hana uwezo wa kuwa dokta ama ana IQ ndogo etc.

Angalia Nchi hii waarabu wanakaa wapi, wengi wapo vijijini na local wamejimix, huwezi wakuta waarabu kama wahindi wanakaa sehemu fulani wao tu bila kujimix.

Hata Nchi za kiarabu mfano kama hawa Qatar walikuwa na uwezo wa kuchukua Wabrazil ama wa Argetina, ila wamekuja Africa kuchukua Vipaji vya timu ya taifa hii inaonesha hawana prejudice kwa wa Africa.

Tafuta mtu ambaye amewahi kukaa Nchi za kiarabu miaka ya 80 na 90 atakwambia kati ta watu weusi na wahindi nani anathaminiwa na waarabu

Black Sniper
 
Wewe umeongea kweli kuna kasumba ya masingo maza wa kimagharibi waliotelekezwa na vijana wa ki Saudi walioenda huko magharibi kimasomo wakawazalisha madem wakurudi kwao wanakatazwa kuwaoa. Dini yenyewe na sharia yake ndio kikwazo namba moja.

Kacheki hii documentary

 
Mbona huku kwetu wapo waarabu wengi wakikirsto na wenyew hawataki tuwaoe,nafikiri liende kimlengo wa Utamaduni wao na Si kidini
kidogo kama tunawez kukuelew,binafsi mimi nmewala sana hawa ila mpaka nina picha zao sema ni private sana ila hii kasumba wanayo[emoji120]
 
Jana ulivuliwa nguo hadharani, badala ya kuchutama umekomaa kukaza misuli ya shingo!

Kila mtu aje na the same argument kuhusu wewe, wote wanakuonea wivu? Who the fuc*k are you kila mtu akusingizie...
[emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…