Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Habari za majukumu wakuuu,

Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?

Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?

Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.

Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?

Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?

Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.

Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani[emoji120]
 
sitaki kukumbusha ujinga wangu wa zamani, ila kwa mbaali sidhani kamani sahihi kuwaoa watu ambao akiinama chuma ulete unaona matundu mawili yote yamelegea. waarabu hata hao Qater, wanavyojifanya kupinga upunga n.k, ni unafiki tu, majority ya wanawake wa kiarabu hawana rinda. majority pia ya wanawake wa kiswahili waliowahi kuolewa au kutembea naw waarabu, hawana marinda, ushoga upo zaidi sehemu ambazo waarabu wapo eg. Tanga, Mombasa, Zanzibar na ukanda woote. hata mijini ni maeneo ya uswahilini. sikatai wazungu majority wanawake wao wanapenda aina hiyo ya ngono ndio maana wameisambaza hata bongo ila waarabu hiyo kitu wanaifanya kuliko hata wazungu ila wakitoka nje wanajifanya wanafuata sana dini.

Mungu anakataza ufiraji, ni dhambi na hakuna mfiraji yeyote atakayeurithi ufalme wa Mungu. hivyo hivyo na kwa wafirwaji. tupa kule uchafu huu.
 
Unajidhalilisha kulialia kuoa sehemu hutakiwi....anyway nimeishi na izo race sana na kweny contacts zangu za simu wapo ila naona kawaida wanajali sana pesa wapo kibao choka mbaya wameolewa na jamaa kadhaa.
Ila mbna nmeandka vzur kabsa hapo juu,shida syo kulilia shda ni usawa na dini ina semaje?
 
Akili za mtu mweusi zipo kuhisi kuonewa tu. Mtu umepauka lakini unataka eti kuoa mtoto wa mtu ambaye hata shida hazijui kisa dini? Mwanamke kwa mujibu wa dini ya Kiislam anahitaji kupewa ulinzi, makazi, chakula na mavazi, Sasa ndugu zetu nyinyi hamtaki kutafuta hela ila mnalazimisha kuoa kwa waarabu eti kisingizio ni dini. Wapo watu wameoa waarabu tena bila shida.
Ukitaka waarabu tu nenda hata Palestine, Syria wapo, ila kama unataka Bakhersa na wa aina yake wakuozeshe wewe kapuku unakosea, Hata kina Kikwete, Kimei, Mwinyi, Makame, Mengi hawawezi kukupa watoto wao kama wewe ni hohehahe
 
Mbna wazungu tunaoa bila hayo mashart yako ya kupauka afu ungetuonesha kwanza wabongo 10 wenye wake warabu
 
Akili za mtu mweusi zipo kuhisi kuonewa tu. Mtu umepauka lakini unataka eti kuoa mtoto wa mtu ambaye hata shida hazijui kisa dini? Mwanamke kwa mujibu wa dini ya Kiislam anahitaji kupewa ulinzi, makazi, chakula na mavazi, Sasa ndugu zetu nyinyi hamtaki kutafuta hela ila mnalazimisha kuoa kwa waarabu eti kisingizio ni dini. Wapo watu wameoa waarabu tena bila shida.
Ukitaka waarabu tu nenda hata Palestine, Syria wapo, ila kama unataka Bakhersa na wa aina yake wakuozeshe wewe kapuku unakosea, Hata kina Kikwete, Kimei, Mwinyi, Makame, Mengi hawawezi kukupa watoto wao kama wewe ni hohehahe
kwahyo wake zetu wabongo hawal pia hutembea uchi,acha shobo na warabu we mwenyw wana kubagua bado
 
Back
Top Bottom