Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Habari za majukumu wakuuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?
Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?
Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.
Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?
Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?
Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.
Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani[emoji120]