Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

Wewe 'areafiftyone' laana nshakuwa juu yako...subiri kinachofuata...Takbiri
 
usilolijua,ni sawa na usiku wa giza

mtu anauzungumzia Uislam,Bila aibu,ilihali haujui kwa lolote

njooni katika Uislam,mpate salama na utamu wa kiroho
 
Lini sasa,,
 
dini dini dini dini dini dini aah kidude kibaya sana dini wanefili wametia ndimu kali sana kwenye kidude dini,mtafuteni shetani yupo ulaya ili dunia iwe salama.hakikisheni kwa njia yeyote mmarekani anadrop hapo dunia itakuwa kama zamani.vinginevyo wote tutakuwa wapumbavu kila siku.
 
Totally wrong!!!
 
Marekani ndo anawashiia akili?,Marekani ndo anatoa amri kwamba wauane?,unataka kutuaminisha kwamba wao hawatumii akili kujua lipi baya na lipi jema?.
kuendekea kusingizia Marekani hakutatui matatizo..
 
Haaaah aaah nmejikuta nacheka tu
 
Mauaji ya wapemba Mkapa akiingia madarakani
 
wanachonganishwa na wajukuu wa ibrahim na kaka zao nato
 
Mkuu!!! Sankara,Stephen Biko,Martin Luther Jr,walikuwa na IQ ndogo?
 
Mkuu!!! Sankara,Stephen Biko,Martin Luther Jr,walikuwa na IQ ndogo?
Mkuu unapaswa kuelewa jambo moja. Tunaposema waafrika tuna low IQ haimaniishi hakuna waafrika wenye IQ nzuri na zilizoweza kuleta manufaa chanya kwa jamii zao; hali kadhalika, kwa wazungu pia, kusema kuwa wana uwezo mkubwa kuliko sisi haimaanishi hakuna wazungu 'vilaza'.
Na labda tu niseme ku-embrace qualities za aliyekuzidi si jinai na wala haimaniishu wewe ni duni na wala pia haimpi mamlaka aliyekuzidi kukutawala. Nadhani umenielewa mkuu.
 

Tatizio kubwa kichwani mwako ni kutokuwa na elimu ya ufahamu wa vita zilizo wahi kutokea na zanazotokea ulimwenguni sehemu mbaliambali mataifa na makabila. mbali mbali, kwa zama mbalimbali,
kwanza ungejiuliza kabla ya waarabu kuuwana, duniani kulikuwa hakuna vita vya watu kupigana wao kwa wao,? povu ulilo uliza hapa laonyesha kuwa waarabu ndio taifa la kwanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe kama ungekuwa na elimu au ufahamu huo usingejipinda na kupoteza MB bure kwa kuuliza upuuzi kama huu,
Lakushangaza pia wamepatikana zezeta wa fikra wengi wakichangia eti oh UISLAAM, amakweli nimeamini uzezeta wa fikra MZIGO, wale WAKURYA wa Mara ( musoma ) kila kunapo kucha wanachinjana na mtu hatosheki kuchinja ukoo mzima mpaka ngo'mbe na mbuzi na panya wa ukoo ule anachinja, hawo nao pia ni WAISLAAM ? mbona wamesheheni UGALATIA
wale wa Ireland kaskazini wameuwana wao kwa wao hawakutosheka mpaka wamechomeana majumba na mashamba nao ni WAISLAM ? mbona wamesheheni UGALATIA,
ZAIRE, RWANDA, na sehemu zingine ulimwenguni, huko kote MBUZKATO hamuwoni mmeona kwa WAARABU tu.
Indonesia takriban 90% ni waislam mbona halijatokea hilo kama kigezo ni Uislaam
 
Kwa kawaida watu wa jamii za kifugaji huwa wagomvi na wenye kupiganapigana sana. Sasa ukichanganya mazingira magumu ya jangwani ndiyo hulka ya kupigana huwa kubwa zaidi. Mambo ya kupigana ni utamaduni wa muda mrefu wa waarabu.
 
Warabu hawauani ila wanachonganishwa.
Akili ndogo ndio maana wanachonganishwa.
 
Unajua waraabu ni akina nani n? au lazima nawe uandikue tu.
Pakistan ni wahindi
Afghan nao ni Wafganistan wana lugha zao hawa wanaandika kutumia kifarsi

hivi umeona ajabu waraabu kupigana miaka hii ? Huoni ajabu Wazungu walipigana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mizungu zaidi ya million 100 kufa ugomvi wanao uita vita ya kwanza na ya pili ?

waafika pia wanakumutana mpaka leo
Japan nao waliua sana ndugu zao wa China , Korea na phillipino
in fact Waraabu walitulia kwa miaka mingi nchi zao hazina mpigano ....ila miaka hii baada ya wazungu kuwavamia na kuzigawa nchi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…