Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

Waliouwa askari kibiti ni waarabju..roho mbaya ni inbuild.. Ipo ndani ya mtu it has nothing to do with his or her race..
 
Eti hakuna mkiristo anaeua wewe ndio pumba kweli siwezi kupoteza wakati na mtu kama wewe. Nilifikiri tunabadilishana mawazo na mtu muelewa kumbe ni walewale. Eti hakuna mkiristo anaeua kwa mujibu wa biblia nenda kasome hiyo biblia yako vizuri
 
Wewe upo ulimwengu gani au hukuenda shule? Hivi hizi taarifa za habari au historia za mashariki ya kati huzijui? Kama ni hivyo siku hizi ni rahisi sana nenda kwa google utapata majibu ya maswali yako. Unauliza ha JF hujui kuwa hapa udini wa kupinga uislamu na ukitaja waarabu tu ni shida unahusishwa na dini. Halafu wewe hufahamu kuwa hapa JF 90% ya wanao comment ni zero na ni mjijiti bashite kabisa ni kuandika pumba tupu yaani watanzania wengi wao ni wapo wapo tu wanaburuzwa kama mataahira. Sijaona hoja ya busara hata moja tangu uandike au uulize upuuzi wako.
waarabu zile kelele za madrasa zimawachanGanya mpaka ukubwani
 
Sio kweli.mbona nyie mlitumia upanga na kumwaga damu kueneza dini
 
Eti hakuna mkiristo anaeua wewe ndio pumba kweli siwezi kupoteza wakati na mtu kama wewe. Nilifikiri tunabadilishana mawazo na mtu muelewa kumbe ni walewale. Eti hakuna mkiristo anaeua kwa mujibu wa biblia nenda kasome hiyo biblia yako vizuri
Mbona povu aisee stay calm mim biblia naisoma sana haijatuagiza kuua kama wew unajua wakristo wanaoua kwa mujibu wa biblia niambie kama wapo labda mim ndo cjui nakubali kuna wakristo wauaji sana bt utakuta ni sababu zingne kama za kisiasa au kikabila au zingne tu bt hukut wakristo wanaoua et kwasababu dini inaagiza hvyo
 
Katika historia ya kuuana kwa wingi waarabu hawamo kabisa...haya ya sasa ni mambo ya kawaida ya evolution za siasa.
katika historia za mauaji duniani ni kama ifuatavyo
Genges Khan huyu ni kiingozi wa Mongols empire..aliua wapinzani wake Wamongols zaidi ya million 5 pia aliteka nchi mbali mbali ikiwamo china beijing na kuua zaidi ya wachina 10m...
alivamia Iran wakati huo ikitwa Persia na kuua zaid ya watu 5m.
himaya yake alikaribia Russia kote huko aliua na ku rap.
2. Wakaja wazungu wakati wa Crusade zao...walingamiza binadamu zaidi ya milion 50...Waliigeuza Jerusalem kuwa pool of blood.
3. Ikaja roman empire iliua na kuua mpaka leo wayahudi wako wachache kutokana na kuuliwa na Romans...
4. Tuje karibuni..kinyanganyiro cha Afrika ..waliua wafrika zaidi ya milion 50...mbali walotupwa haiti cuba caribean jamaica na baharini kuliwa na papa
5. Ikaja vita ya kwanza ya dunia ..hii vita si ya dunia bali ni vita ya kuuana baina ya wazungu...wakachinjana zaidi ya 20m ...walichinjana na kuripuana kwa nerve gas...
hawakutulia...ikaja vita nyengine waloita ya pili ya dunia...wazungu wakachinjana shiba...damu ilitapakaa ulaya...Russia pekee waliuliwa 20m
wengine wakapiteza watu 80m
..
kutokana na kuwa wazungu kuwa blood thirsty sasa wanakuja kula damu za wengine ndo kama hivi mara wavamie vietnam mara congo mara libya mara iraq mara syria......
hakuna jamii inayopenda damu kama wazungu.
tuliona marekani walivo waua japan kwa Atomic bombs..wakuua mji miwili...
na juzi tumeona walivo ua kwa kurusha bomu kubwa zaidi duniani.
wazungi ni blood thirsty creatures.....kuanzia kafara zao za freemasom mpaka akili yao.
waarab mi most peacefull people on earth ...yanayotokea ni mepesi na yanachochewa na wazungu wapenda damu
 

nimekusoma mkuu.
angalau umejibu kitofauti. maana sasa kuna watu wamefanya thread hii ya kidini.
 
Unarudi kulekule na wala sio povu. Hakuna dini inayoruhusu kuua na hata hao waarabu wanauana kwa sababu za kisiasa na wala si kidini. Hivi wewe unajua historia au unashabikia tu? Haya mauaji yanayofanywa na marekani na mataifa ya kimagharibi katika nchi za kiafrika huzioni unafahamu kuwa muuaji wa kwa kabla ya hitler ni mfalme wa Ubeligiji ambae aliuwa wakongo man milioni 10 na kuiba rasimali nyingi. Samahani siwezi kuendelea sababu unashabikia ti huna ujualo na kama unaamini ni uislamu kazi kwako. Soma historia ya dunia uelewe.
 
Pole sana mkuu...umeandika kwa hisia sana
 
Vita vya waarabu mnahusisha na dini ya kiislam. Lakini sisi waislamu hatuusishi ushoga ambao umeshamiri katika mataifa ya magharibi kiasi cha raha hizo kufikia kuuhalalisha katika nchi zao ambapo wanaume na mwanaume ni halali kufirana na wana haki ya kulea watoto na kwa sasa wameanza kuleta cartoons ambazo zinafundisha two men as mother and father. Kama mumekubali katika kizazi hiki eti uislamu ni dini ya mashetani na kwa nini hamkubali kuanza na wafirika wakiristo mkaanza kama mabwana zenu na mtakuja kukubali kama vile mumekubali kuanza kuzini bila kuoana ambayo jamii ya wakiristo ni jambo la kawaida mwishowake mtakubali tu kuanza kufirana.
 
Zamiluni zamiluni zamiluni...please usiendelee Hivi itakuweka ktk kundi la FaizaFox. Kuna mambo unayaongea yanaukweli lakini pia tukubali ukweli wa upande wapili.
Sisapoti mauaji yanayifanywa kwa kigezo cha imani yyte. Ila hapa kinachozungumzwa ni uarabu. Mf kuna waarab hawapendani si kwa sabbu ya uchonganishi au umagharibi au ubepari ni SBB za koo zao. Hivyo baadae inakuwa rahisi kuwa manipulated na maadui.
Kuna nchi kama Pakistani au misri kuna waarab wakristo ni taabu kila siku. Simaanishi natetea wakrusto wa CAR au mabudha ya Myanmar juu ya waislam suala hapa ni waarab. Nafkiri majibu yawe ya kihistoria zaidi yasiwe ktk religion based.
Hivi unafkiri ukoo unaotawala UAE ulipata nafasi hiyo kirahisi tuu au wale wakina shekh Mansoor utajili wao ulitokana na simple things naamini walipamabana kuzizidi koo nyingine. Naamini waarab wanamamtatizo yako mengi ya unasaba. Pia ujasiri wao wa kutoogopa kufa una kuwa at the expense of illwill of their Master mind
 
Kwa sababu wanaabudu mungu mwezi na nyota.
 
Mkuu kabla ya hiyo 2002 kuliwahi tokea migogoro mkubwa ndani ya wairaki, mgogoro kati ya Kuwait na Iraki, Iran na Iraki. Kule Pakstan mgogoro wa kuuwana kati ya Shia na Sunni. Ingawa ni kweli watu wa magharibi wanaichochea hii mitafaruku.
 
Mkuu kabla ya hiyo 2002 kuliwahi tokea migogoro mkubwa ndani ya wairaki, mgogoro kati ya Kuwait na Iraki, Iran na Iraki. Kule Pakstan mgogoro wa kuuwana kati ya Shia na Sunni. Ingawa ni kweli watu wa magharibi wanaichochea hii mitafaruku.
Watu wengi hawafahamu kuwa Mafuta Huitwa "Black gold" sasa unapo kuwa una reserve kubwa ya mafuta hapo sasa Majambazi na wavamizi hunza fitina na uchochezi wao !!
Nasi huku tusubiri kidogo tu tutaisoma namba !!!
maana Nigeria washaipata na Angola washisoma kesho Malawi .. nk nk !!
 
Siyo majambazi tu hata mwenye hiyo black gold atataka majisifa na majivuno, anakuwa arrogant na kutishia kila mtu maskini na matajiri kwa sababu anayo pesa. Ana abuse power yake na kutishia hata majirani zake! Kumbuka Iraq ilipovamia Kuwait!
 
Siyo majambazi tu hata mwenye hiyo black gold atataka majisifa na majivuno, anakuwa arrogant na kutishia kila mtu maskini na matajiri kwa sababu anayo pesa. Ana abuse power yake na kutishia hata majirani zake! Kumbuka Iraq ilipovamia Kuwait!
exactly hiyo ndo hulka ya utajiri wenye kiburi...mwishoe huishia kaburini...!!
 

Mimi huwa najiuliza sipati jibu, kwa nini watu/raia wa hizo nchi ulizotaja wanakubali vita vipiganiwe nyumbani kwao? Mfano Syria, Marekani anaingia anampiga Assad amtoe madarakani, Mrusi naye anakuja madai yake anampiga 'muasi' ili amtetee Assad abaki madarakani. Kwa nini wazawa kushirikiana na viongozi wao wasiseme...eeehh..basi sasa...kaeni huko huko na mizinga yenu sisi tutayamaliza yetu wenyewe? Matokeo yake nchi zinaharibiwa, watu wasio na hatia wanauawa bure...solution hazipatikani. Nahisi aidha kwa 'uchu' wao wenyewe ndio watu wao wanateketea.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…