Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

Ww Kama mkristo andika mambo yako na wakristo wakusapoti kama hauna dini funga domo tulia subiri maada za kidunia
 
Mbona professor Assad ana sijda?
Sasa ww huoni kuwa huyo ni mtu mzima hivyo kipindi kingi cha maisha yake kasalia kwenye mikeka ?
Kwa sasa ni ngumu kukuta mtu mwenye miaka 30 kushuka chini ana sijida kutokana na mikeka kutotumija tena.
 
Na alichozaa kitakuwa hakina akili haijalishi mwanamme au mwanamke
Nikuletee mashehe na mudi boy alisema nini kuhusu kuongozwa na mwanamke ...maana hata huyo mudi boy wako anasema kama ninavyo sema....tatizo lako wewe hata kwenye uislamu haupo bali upo kwenye uisiharamu ndiyo maana unampinga hadi huyo mtume wako
 
Swali halijajibiwa. Kwa nini haipo kwa waarabu wengi?
 
orodha ya baadhi ya mapadri maarufu wa Kiarabu, majina yao, na nchi wanazotoka:

1. Padri George A. Habib

Nchi: Misri

Maelezo: Padri George A. Habib ni mmoja wa mapadri maarufu wa Kiarabu kutoka Misri, na amejulikana kwa mchango wake katika masuala ya kijamii na kidini. Pia, ni mtaalamu katika masuala ya teolojia ya Kikristo na amehusika katika shughuli za mazungumzo ya kidini kati ya Waislamu na Wakristo.


2. Padri Fouad Aziz

Nchi: Lebanon

Maelezo: Padri Fouad Aziz ni padri maarufu kutoka Lebanon, ambaye anahusika na shughuli za kijamii na anajulikana kwa mchango wake katika masuala ya amani na umoja wa kidini kati ya Wakristo na Waislamu.


3. Padri Michel Sabah

Nchi: Palestina

Maelezo: Padri Michel Sabah ni Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Palestina na alikuwa Patriaki wa Kanisa la Latini la Jerusalem. Alikuwa mmoja wa viongozi wa kidini wa Kiarabu na ameleta mchango mkubwa katika masuala ya haki za kibinadamu na amani.


4. Padri Rami Ayyad

Nchi: Palestina

Maelezo: Padri Rami Ayyad alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Gaza, Palestina. Aliuawa mwaka 2007 kwa sababu ya imani yake ya Kikristo, na alijulikana kwa kazi yake ya kueneza amani na kuunga mkono haki za Wakristo na Waislamu katika eneo hilo.


5. Padri Shukri Kallash

Nchi: Jordan

Maelezo: Padri Shukri Kallash ni padri wa Kiarabu kutoka Jordan ambaye anajulikana kwa kazi yake ya kijamii na kidini. Anafanya kazi katika kuendeleza mazungumzo ya kidini kati ya Wakristo na Waislamu na anahusika na ulinzi wa haki za kibinadamu.


6. Padri Samir Khalil Samir

Nchi: Lebanon

Maelezo: Padri Samir Khalil Samir ni padri na mtaalamu wa masuala ya Kiislamu na Kikristo kutoka Lebanon. Anajulikana kwa uchambuzi wake wa masuala ya dini, hasa uhusiano kati ya Uislamu na Ukristo, na mchango wake katika mazungumzo ya kidini.

WAKIRISTO KATKA MIJADALA YA KIDINI WEPESI SANA. WENGI WAO WANATUMIA HISIA ZA MABABU ZAO
 
mwanamke yoyote yule hana akili hasa akili ya kiuongozi aijalishi ni mama yako au mama yangu au ni rais
Sasa kama umezaliwa na mtu asiye na akili ww utakuwa na akili ,maana tabia na akili ya mtoto huwa inaasiki ni aina gani ya mzazi aliye naye.
 
We kama mimi,afu mbaya zaidi mengine ni masomi kabisa
 
Kumbe sigida ni umaskini wa kuswalia kwenye mikeka migumu na si taa ya kaburini tena?
 
Kuna taasisi moja ya Washia niliwahi fanya kazi back 2010,sasa jamaa 1 Mkenya alikuwa wale Masunni itikadi kali akawa na booonge la Sijda,yaani kuubwa kama kitumbua kilichoungua,kulikuwa na tetesi kwamba anajisugua makusudically... Hapa ndipo nilipokuja kujua kumbe Sunni na Shia kuna tuvitu wanatofautiana kama ilivyo Wakatoliki na Waprotestanti

Aisee ashukuriwe M/Mungu yule mzee alikuwa peace sana maana kila tukimtania,yeye anacheka tu na kutujibu kwa aya na nasaha maana angekuwa mtata wallah angelipua lile jengo la watu kwa kujitoa mhanga.
 
Kusujudu, kupiga magoti, kuinua mikono, kupiga makofi, kusifu kwa nyimbo na kucheza muziki n.k. ni madhihirisho ya nje yanayotokana na ibada rohoni mwa mtu.

Biblia hailazimishi mtu kusujudu bali inaonesha ni kwa njia zipi mtu anaweza kusifu au kumwabudu Mungu.

Yesu alisema hivi: "Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu."

Hivyo msisitizo ni kuabudu kwa roho na kweli ila mwitikio wa nje ndo mambo niliyotaja ikiwemo kusujudu.

Ufahamu wa kitu hautokani tu na kunukuu mistari mingi, kasome vizuri hiyo Yohana 4:5-26 upate context kamili.

Ibrahimu pamoja na kuwa ni baba wa Imani lakini uelewe pia Mungu alimtoa kwenye jamii ya kipagani, kuna mambo aliyafanya kama mazoea ya jamii yake lakini hayakuwa maelekezo ya Mungu per se. Isipokuwa baada ya kuitwa na Mungu yote yenye kuhesabiwa kuwa ni ibada aliyaelekeza kwa Mungu wa kweli.

Na pia kusujudu zamani Uyahudini/Israeli watu walimsujudia mpaka mfalme, kwa hiyo kuwa na alama ya sijda haikuongezei chochote kwenye ufalme wa Mungu, zaidi sana itakufanya uwe kiburi cha moyo maana utajisikia ni bora kuliko wenzako kumbe hata Mungu huna ushirika naye au ulishamuacha.
 
Nikuletee mashehe na mudi boy alisema nini kuhusu kuongozwa na mwanamke ...maana hata huyo mudi boy wako anasema kama ninavyo sema....tatizo lako wewe hata kwenye uislamu haupo bali upo kwenye uisiharamu ndiyo maana unampinga hadi huyo mtume wako
Mwanamke haongozi muislam. Ukiona muislam mwanamke anaongoza ujue nchi hio inafata mfumo wa kikiristo yaani dini siasa tofauti
 
Hujui hata kutumia ChatGpt.
Umeambiwa by default or factory settings. Haujaambiwa hawapo. Ina maana ChatGpt umeshindwa kuitumia ikakuoa hoja ya kujaribu kuni punch. Unazidi kushuha uwezo wako wa rwasoning kutoka ule mdigobwa kujua kusoma na kuandika uliokuwa nao kwenda non
 
Huna mpya kifuu tundu. Kuna waarabu wengi makafiri kuliko kafiri wew. Wewe kafiri maskini unaenda kanisani kwa boda boda
 
Nywele sidja wanazo sana ila zinafunikwa na nywele na kuiona sio rahisi
 
Wewewe wale ni watu hatari sana wale hawana muda na mabikira 72, ukitaka kujua kwa nini hawana sigda waulize dada zetu wanaoenda kufanya kazi za ndani utasikia wanavyolalamika.
 
Sahihi kabisa
 
Huu mjadala unaonesha wazi muislam mmoja mtoto mdogo anaesoma madrsa anaakili kuliko wakiristo 10 maprofessa
Kweli kabisa, tukazane kupeleka watoto màdrasa ili wawe na akili kuliko maprofessor wakristo.
 
Ni kweli ilo kovu jeusi litakuwa Tochi mkishakufa mkiwa kaburini?
 
bossi,misikiti ya wabongo mazuri yanatumika mpaka yanakuwa vipara je,unategemea wasiwe na sijda?

waarabu wanaswali kwenye mazuria mapya na mazuri.

ushawah kujiuliza why katikati ya mapaja unakuwa mweusi??ni misuguano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…