Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

Mimi sipendi wapumbavu hata siku moja ....siangalii huyo moumbavu ni mwamposa au omar...mpumbavu ni mpumbavu tu tena akiwa na cheo ndiyo mbaya zaidi ...cheki samia bushiri alivyo tamalaki upumbavu toka unyayoni hadi utosini
kwamba sijida ni upumbavu? chuki za kidini zitakusumbua sana.
 
BIBLIA NA SIJDA

Sijda katika Agano la Kale

1. Abrahamu Kusujudu
Abrahamu alisujudu mbele ya Mungu alipokuwa akizungumza naye, kuonyesha unyenyekevu na heshima:
"Abramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akasema naye."
(Mwanzo 17:3)

2. Musa na Haruni Kusujudu
Musa na Haruni walijitupa kifudifudi mbele za Mungu kuonyesha ibada na heshima:
"Kisha Musa na Haruni wakaanguka kifudifudi mbele ya kusanyiko lote la Waisraeli."
(Hesabu 14:5)

3. Daudi Kusujudu
Mfalme Daudi, akijua ukuu wa Mungu, alisujudu kwa unyenyekevu:
"Njooni, tumwabudu na kumsujudia, tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu."
(Zaburi 95:6)

4. Danieli Kusujudu
Danieli alisujudu mara tatu kila siku, akimwomba na kumsifu Mungu:
"Alikuwa akiingia katika chumba chake cha juu, penye madirisha yaliyoelekea Yerusalemu. Alikuwa akipiga magoti na kusali mara tatu kwa siku."
(Danieli 6:10)

Aya za Qur'an Zinazozungumzia Sijda

1. Amri ya Kusujudu kwa Mwenyezi Mungu
"Na kwa hakika tuliwaumba wanadamu na majini ili waniabudu."
(Qur'an 51:56)
Hii inaonyesha kuwa kusujudu ni sehemu ya lengo la kuumbwa kwa wanadamu.

2. Waja wa Mwenyezi Mungu Wanapokumbuka Aya Zake Husujudu
"Hakika wale walioamini aya zetu, wanapokumbushwa nazo huanguka kifudifudi na kumsujudia Mola wao, na humhimidi Mwenyezi Mungu kwa sifa zake, nao hawafanyi kiburi."
(Qur'an 32:15)

3. Kusujudu Kama Ishara ya Unyenyekevu na Shukrani
"Na kusujudu na ukaribie zaidi kwa Mwenyezi Mungu."
(Qur'an 96:19)
Hii ni mojawapo ya aya zinazosisitiza kusujudu kama njia ya kumkaribia Mwenyezi Mungu.

4. Sijda ya Malaika kwa Adam (AS)
"Na kumbuka pale tulipowaambia Malaika: Msujudieni Adam. Wakasujudu wote isipokuwa Iblisi, alikataa na akajivuna, naye alikuwa miongoni mwa makafiri."
(Qur'an 2:34)
Hii inaonyesha kuwa sijda kwa Adam ilikuwa ni agizo la Mwenyezi Mungu kama ishara ya heshima, si ibada.

5. Sijda ya Viumbe Vyote
"Na viumbe vyote mbinguni na ardhini vinamsujudia Mwenyezi Mungu, kwa kupenda au kwa kulazimika, na vivuli vyao pia asubuhi na jioni."
(Qur'an 13:15)
Aya hii inaonyesha kuwa kila kiumbe kinamnyenyekea Mwenyezi Mungu.

6. Waumini Wanaposikia Qur'an Husujudu
"Na wanapoisikia Qur'an husujudu kifudifudi wakiilia kwa hofu na shukrani kwa Mola wao."
(Qur'an 17:107-109)

---

Sura za Sajda (Aya za Kusujudu)

Qur'an ina sehemu maalum za kusujudu zinazoitwa "Aya za Sajda." Aya hizi husomwa na kusujudiwa mara moja na msomaji au msikilizaji. Kuna jumla ya 15 aya za Sajda katika Qur'an:

1. Al-A'raf (7:206)

2. Ar-Ra’d (13:15)

3. An-Nahl (16:50)

4. Al-Isra (17:109)

5. Maryam (19:58)

6. Al-Hajj (22:18)

7. Al-Hajj (22:77)

8. Al-Furqan (25:60)

9. An-Naml (27:26)

10. As-Sajda (32:15)

11. Sad (38:24)

12. Fussilat (41:38)

13. An-Najm (53:62)

14. Inshiqaq (84:21)

15. Al-Alaq (96:19)

---

Hadithi Kuhusu Sijda

Mtume Muhammad (SAW) alisisitiza umuhimu wa sijda kwa waumini:

1. Kusujudu Mara kwa Mara
"Unapomsujudia Allah, Allah hukunyanyua daraja moja na kufuta dhambi moja."
(Sahih Muslim, Hadithi 482)

2. Kusujudu Kama Alama ya Ibada
Mtume alisema: "Nitambue umma wangu Siku ya Kiyama kwa athari za sajda kwenye vipaji vyao."
(Sahih Bukhari, Hadithi 6572)

---

Umuhimu wa Sijda

1. Ishara ya Unyenyekevu Kamili
Sijda inaonyesha kwamba binadamu anakubali udhaifu wake mbele ya Allah.

2. Kipimo cha Ukaribu na Allah
Kusujudu ni tendo linaloweka mja karibu zaidi na Mola wake.

NDUGU ZETU WAKIRISTO MNAKOSEA WAPI? NAWASHAURI WASOME SANA BIBLIA NA WASIPENDE KUSOMEWA NA WACHUNGAJI NA WAO WAKAWA WANAFATA TU
Hivi kusujudu ni kusugua utosi ardhini? Kwenu watu wa Imani, haiwezekani kusujudu bila kuusugua utosi chini kutengeneza sugu?
I mean can't it be done gently?
 
kwamba sijida ni upumbavu? chuki za kidini zitakusumbua sana.
Sijida ina manufaa gani kuwa kichwani mwa wahuni...👉 watu mnao muheshimu mungu midomoni ila matendo yenu yapo kinyume (waisiharamu)
 
Jibu swali, kwanini waarabu hawana sigida?
Mkiristo gani kichwa maji. Hata kuuliza swali hujui
Uliza hivi. Kwanini waislam ngozi nyeupe kama waarabu , wazungu na wahindi hawa sijda? Lk umekazania waarabu waarabu na unajua kuna waarabu makafiri kuliko wewe
 
Kwa hivyo mama yako hana akili? Sasa kama aliekuzaa hana akili wewe utakuwa na akili? Sisi waislam ngozi nyeusi tunaakili kuliko nyinyi wakiristo ngozi nyeupe, mfano mdogo tu, waislam ngozi tunapinga ushoga nyinyi wakiristo ngozi nyeupe mnapenda sana ushoga
Mwenzako FaizaFoxy huwa ananikimbia naona wewe umejileta mwenyewe ...sasa nina maswali nataka kukuuliza kuhusu huyo mudi boy wako nijibu labda na mimi nikawa muisiharamu kama wewe...maana huyo mtume wenu siyo mtume wala yeye mwenyewe alikuwa ajui kuwa mtume ni kitu gani ...pia uislamu ni dini mpya ..siyo kweli kuwa mitume wa kale walikuwa waislamu kama unabisha sema nije nikuonyeshe ...ukweli
 
Swali hujajibu, kwanini waislam weusi ndo wenye digida peke yao? Hata kama ni waçhache, kwanini?
Wanaosujudu wasio waislam hawana sigida, wawe waarabu au siyo waarabu.
SWALI KWANINI WAISLAM WEUSI TUU NDO WAWE NA SIGIDA?
Ww umesha tembea dunia nzima au unawajua waisilam wote walioko hapa duniani ili utudhibitishie kuwa waisilam weusi tu ndo wenye sijda?

Sijda inatokana na usugu kwa sababu ya mazingira ya pale unapo sujudia sisi waafrica kipindi cha nyuma walikuwa wanasalia kwenye mikeka migumu ,na waarabu wana salia kwenye mazuria laini, lakini tangu mazulia yasambae dunia nzima ni ngumu kumkuta mtu ana sijda bila kujali wewe unatokea wapi.
 
mwanamke yoyote yule hana akili hasa akili ya kiuongozi aijalishi ni mama yako au mama yangu au ni rais
Kwa hivyo mama yako hana akili? Sasa kama aliekuzaa hana akili wewe utakuwa na akili? Sisi waislam ngozi nyeusi tunaakili kuliko nyinyi wakiristo ngozi nyeupe, mfano mdogo tu, waislam ngozi tunapinga ushoga nyinyi wakiristo ngozi nyeupe mnapenda sana ushoga
 
Ww umesha tembea dunia nzima au unawajua waisilam wote walioko hapa duniani ili utudhibitishie kuwa waisilam weusi tu ndo wenye sijda?

Sijda inatokana na usugu kwa sababu ya mazingira ya pale unapo sujudia sisi waafrica kipindi cha nyuma walikuwa wanasalia kwenye mikeka migumu ,na waarabu wana salia kwenye mazuria laini, lakini tangu mazulia yasambae dunia nzima ni ngumu kumkuta mtu ana sijda bila kujali wewe unatokea wapi.
Mbona professor Assad ana sijda?
 
Waislamu wa ngozi nyeusi wengi ni wapumbavu ..hawana akili yoyote kichwani ...akili zao ni kama akili za wanawake tu...nilisema duniani hakuna waislamu kwa sasa bali kuna WAISIHARAMU TU.
Ya kwamba nyinyi mna haki ya kwenda kununua udongo kwa laki moja ili utajirike bila kufanya kazi ila waisilam hawana haki ya kuwa na sijida?
 
muongezee swali, kwanini wazungu hawaanguki mapepo??
Na hili? Kwanini
Mwenzako FaizaFoxy huwa ananikimbia naona wewe umejileta mwenyewe ...sasa nina maswali nataka kukuuliza kuhusu huyo mudi boy wako nijibu labda na mimi nikawa muisiharamu kama wewe...maana huyo mtume wenu siyo mtume wala yeye mwenyewe alikuwa ajui kuwa mtume ni kitu gani ...pia uislamu ni dini mpya ..siyo kweli kuwa mitume wa kale walikuwa waislamu kama unabisha srma nije nikuonyeshe ...ukweli
Soma vitabu vya wakiristo wenzio

Kenneth Cragg

Kitabu: The Prophet of Islam: A Christian Perspective (1959)

Sifa nzuri za Mtume Muhammad: Cragg anasema kwamba Mtume Muhammad alikuwa na uwezo wa kuongoza kwa njia ya haki na alieleza ujumbe wa mabadiliko ya kijamii na kiroho. Alihimiza usawa na haki kwa wanawake na walengwa wa jamii.

Mwaka wa mwandishi: 1959

Dhehebu: Mkristo

Nchi: Uingereza

3. Bernard Lewis

Kitabu: Islam and the West (1993)

Sifa nzuri za Mtume Muhammad: Lewis anamuelezea Mtume Muhammad kama mtu ambaye alianzisha mabadiliko makubwa katika jamii ya Kiarabu, akiwa na maono ya kijamii na kiroho. Aliweza kuunganisha familia na jamii katika umoja wa imani.

Mwaka wa mwandishi: 1993

Dhehebu: Mkristo

Nchi: Uingereza

4. William Muir

Kitabu: The Life of Muhammad (1858)

Sifa nzuri za Mtume Muhammad: Muir anazitaja sifa za Mtume Muhammad kama ujasiri, uadilifu, na umakini katika kuboresha jamii ya Kiarabu. Hata hivyo, alikuwa na mtazamo mkali kuhusu baadhi ya vipengele vya dini ya Kiislamu.

Mwaka wa mwandishi: 1858

Dhehebu: Mkristo

Nchi: Uingereza
 
Sasa kama mabudha wanasujudu mara 100+ kwa siku mbona hushangai wao kukosa sijda, wakristo wanapaswa kusujudu mbona wao hawana sijda ama wao hawasujudu!?

Nadhani sehemu unayosujudia ndio inaleta sijda, kuna misikiti ukiswali hapa hapa bongo, kupata sijda ni kazi sababu kuna makapeti laini kinooma, ila ukiswalia sehemu ngumu sijda(sugu) itatokea tu.

Piga ngumi mara kwa mara kwenye ukuta kisha piga kwenye godoro ama sufi kabisa huwezi kutoka sugu.
 
SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda

Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu

SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu viongozi wa kibudha wanasujudu mara 108 kwa siku kama maagizo katika dini yao

AIDHA, kuna alama inayotokea katika paji la uso kwa yule anayesujudu, hii hutokea si kwa watu wote hata ikiwa wote wanaswali swala 5 za Faradhi (zinazofanywa kila siku)

Swali langu kwa Waislam ni kuwa, Kwanini Waumin wa Kiislam jamii ya wa Waarabu wengi wao hawana SIJDA hata viongozi wa Dini?

SHUKRAAN...
Malaria 2 adriz mjingamimi FaizaFoxy Hance Mtanashati Hammaz
Ukiwa Mwarabu inajulikana kwamba lazima utakuwa Muislam, hiyo ni by default, yaani factory settings.
Ukiwa Mwafrika unakuwa inabidi utafute alama ili tukujue, hivyo utatakiwa usugue paji la uso ili kututhibitishia kuwa wewe ni mwenzetu na upo tayari kuwa na alama kwa ajili yetu
 
Kwanza sio kila mwarabu mwislam! Pili sio kila mwanarabu anaswali! Tatu most of mkeka ya misikit yetu ni migumu saana ukiswali mara mbili tu unapata weusi!
Mwisho kwanini mmegeuka kuwa wasemaji wa waislam hali ya kuwa kitabu chenu hakijulikani ni version ipi mfuate na yapi , attacking muslims kutafuta koment hamna chochote unapata maana humu kama watu wanamashetani ukitajwa uslam na waislam yanapanda.
Andikeni mambo yananyo wahusu
 
Sasa kama mabudha wanasujudu mara 100+ kwa siku mbona hushangai wao kukosa sijda, wakristo wanapaswa kusujudu mbona wao hawana sijda ama wao hawasujudu!?

Nadhani sehemu unayosujudia ndio inaleta sijda, kuna misikiti ukiswali hapa hapa bongo, kupata sijda ni kazi sababu kuna makapeti laini kinooma, ila ukiswalia sehemu ngumu sijda(sugu) itatokea tu.

Piga ngumi mara kwa mara kwenye ukuta kisha piga kwenye godoro ama sufi kabisa huwezi kutoka sugu.
Huu mjadala unaonesha wazi muislam mmoja mtoto mdogo anaesoma madrsa anaakili kuliko wakiristo 10 maprofessa
 
Ukiwa Mwarabu inajulikana kwamba lazima utakuwa Muislam, hiyo ni by default, yaani factory settings.
Ukiwa Mwafrika unakuwa inabidi utafute alama ili tukujue, hivyo utatakiwa usugue paji la uso ili kututhibitishia kuwa wewe ni mwenzetu na upo tayari kuwa na alama kwa ajili yetu
Sasa ndio akili za wakiristo hizo? By default ktk binaadam inatumika? Unaswali kanisa gani wewe?
 
Back
Top Bottom