Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

Sasa unajua kwanini mwanamke haongozi ...mudi boy kasema pia imehalibikiwa jamii ile ambayo mambo yao yana ongozwa na kuamriwa na mwanamke unajua kilojiki ni kwanini kama siyo tatizo la akili za mwanamke kuwa duni?huo ni uthibitisho wa kwanini mwanamke atakiwi kuongoza jamii ni akili zake kuwa finyu...
Mwanamke haongozi muislam. Ukiona muislam mwanamke anaongoza ujue nchi hio inafata mfumo wa kikiristo yaani dini siasa tofauti
 
SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda

Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu

SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu viongozi wa kibudha wanasujudu mara 108 kwa siku kama maagizo katika dini yao

AIDHA, kuna alama inayotokea katika paji la uso kwa yule anayesujudu, hii hutokea si kwa watu wote hata ikiwa wote wanaswali swala 5 za Faradhi (zinazofanywa kila siku)

Swali langu kwa Waislam ni kuwa, Kwanini Waumin wa Kiislam jamii ya wa Waarabu wengi wao hawana SIJDA hata viongozi wa Dini?

SHUKRAAN...
Malaria 2 adriz mjingamimi FaizaFoxy Hance Mtanashati Hammaz
Ivi nyie wakristo mnalipwa au mnatumwa huko makaniaani mukashifu uislam,maana kila siku thread za kuwatukana waislam na uislam
 
SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda

Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu

SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu viongozi wa kibudha wanasujudu mara 108 kwa siku kama maagizo katika dini yao

AIDHA, kuna alama inayotokea katika paji la uso kwa yule anayesujudu, hii hutokea si kwa watu wote hata ikiwa wote wanaswali swala 5 za Faradhi (zinazofanywa kila siku)

Swali langu kwa Waislam ni kuwa, Kwanini Waumin wa Kiislam jamii ya wa Waarabu wengi wao hawana SIJDA hata viongozi wa Dini?

SHUKRAAN...
Malaria 2 adriz mjingamimi FaizaFoxy Hance Mtanashati Hammaz

Tuliochanganyikiwa na dini ni sisi wamatumbi. Imetuvuruga tumekuwa vichaa. Kuna siku jamaa aliniambia atasoma Aya fulani mti utakauka. Mpaka leo ule mti upo.
pamoja na kuisoma hiyo aya.
 
ndugu zangu wakristo msipokuwa na uvumilivu wa tofauti za kiimani na waislam, wengi mtaugua kisukari na presha kwa msongo wa mawazo.nadhani wengi itakuwa tayari wameanza kuugua
Aisee wakristo wana chuki na waislam,
 
Sasa kama umezaliwa na mtu asiye na akili ww utakuwa na akili ,maana tabia na akili ya mtoto huwa inaasiki ni aina gani ya mzazi aliye naye.
Kichaa akipata mimba nani kakuambia ni lazima azae kichaa ...mwanamke yoyote ni mpumbavu kwenye mambo ya uongozi hata kama ni mama yangu mzazi
 
Kwana mwanamke kichaa na mwanaume kichaa wakizaa kikanuni wana zaa kichaa? Tumia akili achakutumia kijambio kufikiri kama ccm ...NYINYI NDIYO YALE MATOTO MAPUMBAVU MNAO SEMA BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU...VERY FOOLISH PEOPLE
Basi ww ni matokeo ya baba na mama vichaa maana ww sio mpumbavu tu bali umejaa uharo kichwani.
 
JAMANI WAISIHARAMU...HIVI HUMU JF SHEIKH MAZINGE HAYUPO HUMU NINA MASWALI KILA NIKITAKA KUULIZA WAISIHARAMU WANANIKIMBIA WENGINE WANAKANUSHA HADI DINI ZAO ....UTASHANGAA MTU KAMA FAIZAFOXY ANAKANUSHA KUWA YEYE SIYO .UISLAMU ILI TU KUKWEPA MASWALI ...SIJUI HAWA WAPUMBAVU WANAOGOPA NINI ? NATAKA MASHEIKH MJITOKEZE ...KUNA HUYU KIJANA MPUUZI ANAITWA adriz ninge mpiga na maswali ila tatizo naogopa atawahaibisha waislamu wenziwe maana haka kajamaa ni kaislamu mandazi na ubwabwa.
 
Basi ww ni matokeo ya baba na mama vichaa maana ww sio mpumbavu tu bali umejaa uharo kichwani.
Wewe uislamu unaujua ? Kama unaujua nataka nikuulize maswali kidogo kuhusu utume wa mudi boy
 
mashehe ubwabwa wengine wanajipamiza na mawe kwenye paji la uso waonekane wana swala tano ili wawa fukunyue watoto kike wa madrasa kuna mmoja alinifundisha zenji mm mkristo kuna ustadhati alikua analeta ubaguzi wa dini
 
Basi ww ni matokeo ya baba na mama vichaa maana ww sio mpumbavu tu bali umejaa uharo kichwani.
Wewe ukisikia tu mtu anasema yeye ni muislamu msuni au shia jua tu huyo ni mpumbavu mudi boy akuwa msuni wala shia ...madhehebu ni hekalu la shetani ibilisi wote wenye kuabudu kwa kufuata madhehebu ni makafiri hata katika ukristo ni hivyo hivyo
 
Hawa walioletewa Mila za kiarabu kwa majahazi ndio unakuta wanasugua uso ardhini eti wapate hilo kovu waonekane machoni pa watu kuwa wanasali Sana. Eti niliwahi kukuta mfafanuzi Moja akieleza mbinguni kwako Kuna giza Sana hilo kovu ndio litatimika kama taa ya kikatiza kwenye mitaa ya FIRDAUSI 😀😀😀
 
SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda

Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu

SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu viongozi wa kibudha wanasujudu mara 108 kwa siku kama maagizo katika dini yao

AIDHA, kuna alama inayotokea katika paji la uso kwa yule anayesujudu, hii hutokea si kwa watu wote hata ikiwa wote wanaswali swala 5 za Faradhi (zinazofanywa kila siku)

Swali langu kwa Waislam ni kuwa, Kwanini Waumin wa Kiislam jamii ya wa Waarabu wengi wao hawana SIJDA hata viongozi wa Dini?

SHUKRAAN...
Malaria 2 adriz mjingamimi FaizaFoxy Hance Mtanashati Hammaz
Sijida ni unafiki halafu wao wapo buzy na kazi zao hiyo kitu wamekuletea ili wakulemaze
 
kwamba sijida ni upumbavu? chuki za kidini zitakusumbua sana.
Sasa USHUZI WA SIJDA NA MAJI YA MWAMPOSA VINA TOFAUTI GANI USHUZI MTUPU....YANI NIKUAMINI WEWE NI MJAMWEMA KISA SIJDA ILIYOPO USONI MWAKO ...WEWE KWELI NI MPUMBAVU KUNA CHOKO NGOJA NIKATAFUTE PICHA YAKE ANAYO SIJDA ILA ANAUZA TIGO ...SIJDA SIYO MUHURI WA UCHAMUNGU WA KWELI KWAMBA MTU AKIWA NAYO NI MTAKATIFU.
 
Kama hujajibiwa umeesema hata wakiristo wanasujudu. Tusianze mbali tuanze hapa ,kwanini wakiristo watanzania hawana sijda usoni mwao au wanasujudu kisogosogo?
Kusujudu sio lazima kusugua paji la uso chini

Hujui maana ya kusujudu?
 
SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda

Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu

SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu viongozi wa kibudha wanasujudu mara 108 kwa siku kama maagizo katika dini yao

AIDHA, kuna alama inayotokea katika paji la uso kwa yule anayesujudu, hii hutokea si kwa watu wote hata ikiwa wote wanaswali swala 5 za Faradhi (zinazofanywa kila siku)

Swali langu kwa Waislam ni kuwa, Kwanini Waumin wa Kiislam jamii ya wa Waarabu wengi wao hawana SIJDA hata viongozi wa Dini?

SHUKRAAN...
Malaria 2 adriz mjingamimi FaizaFoxy Hance Mtanashati Hammaz
Wao hutumia mazulia laini ya sufi. Huku kwetu tunatumia mikeka au majamvi magumu
 
Back
Top Bottom