Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Sasa unajua kwanini mwanamke haongozi ...mudi boy kasema pia imehalibikiwa jamii ile ambayo mambo yao yana ongozwa na kuamriwa na mwanamke unajua kilojiki ni kwanini kama siyo tatizo la akili za mwanamke kuwa duni?huo ni uthibitisho wa kwanini mwanamke atakiwi kuongoza jamii ni akili zake kuwa finyu...
Mwanamke haongozi muislam. Ukiona muislam mwanamke anaongoza ujue nchi hio inafata mfumo wa kikiristo yaani dini siasa tofauti