Inasemekana kabila la wachaga ni wakikuyu na Kabila moja la Nigeria +EthiopiaWamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
🤣 🤣 🤣Wachaga wako Kenya ni Mkoloni tuu aliamua kutusaidia Watanganyika
🤣 🤣 🤣Wahaya Tz pekee
Wadigo Tz pekee
Wanyakyusa Tz pekee
Wanyiha Tz pekee etc.
🤣 🤣 🤣Massawe, Mworia, Mushi, Moshi, Kiria, Kishumbua na wengineo mkuje huku mna kesi ya kujibu. Kwa nini hamkai huko Kenya mpo ndani ya Tanzania tu. Nina hakika mtatupatia majibu mazuri ya Historia yenu.
🤣 🤣 🤣Ruto mwenyew ni mchaga.
NB. Huwa sipendi mtu mbishi
👏👍Wamakonde - Tanzania na Msumbiji
Wadigo- Tanzania na Kenya
Wadigo wapo Kenya Msambweni tena wanajiita hivyo hivyo wadigo. Na hata lugha ni moja na wadigo wa Tanga . Kila kitu wanafanana hadi lafudhiWahaya Tz pekee
Wadigo Tz pekee
Wanyakyusa Tz pekee
Wanyiha Tz pekee etc.
Sasa kwanin wachaga hawapo tanzania na kenya ila wapo tanzania pekee?Wamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
jamii ya waha ipo pia burundi sema hawaitwi waha tenaBurundi kuna wahutu, watutsi na watwa. Hao waha labda umewapeleka wewe Burundi.
Sometimes kabla ya kuandika thread hapa JF unatakiwa uwe na ujuzi pamoja na uelewa wa kile unachoandika, bila hivyo utadhalilika kama hivi.
Jamii ni nini na kabila ni nini?jamii ya waha ipo pia burundi sema hawaitwi waha tena
Majina tu ya makabila yanabadilika toka nchi fulani kwenda nyingine mfano wanyambo wa karagwe ndo haohao wanyankole kwa Uganda kabla ya wakoloni walikua chini ya utawala mmojaBurundi kuna wahutu, watutsi na watwa. Hao waha labda umewapeleka wewe Burundi.
Sometimes kabla ya kuandika thread hapa JF unatakiwa uwe na ujuzi pamoja na uelewa wa kile unachoandika, bila hivyo utadhalilika kama hivi.
Kule wanaitwa kina Kamau kina wanjiku ni walewale tuMbona sijawahi kumsikia mchagga (masawe, urio, Nkya, Lyimo, Shirima) wa Kenya??
Hapa hoja yako nini mkuu?Majina tu ya makabila yanabadilika toka nchi fulani kwenda nyingine mfano wanyambo wa karagwe ndo haohao wanyankole kwa Uganda kabla ya wakoloni walikua chini ya utawala mmoja
JAMII ni watu wanaoish kwa pamoja na kushirikiana.Jamii ni nini na kabila ni nini?
Tuanzie hapo kwanza!!
Wandali- Tanzania na MalawiWamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
wapo wafanya biashara waliohamia hukoSina hakika kama wanyakyusa wapo Zambia pia mkuu.
Hapo kwa waha kua burundi.............,,,...waha, wahangaza , wahutu,watutsi ni kabila 1 hilo sema mambo yalibadilka baada ya mkoloni kuja akavunja tawala zao na kuweka mipaka yake ambayo ilizigawa hizo jamiii,, ndo maana upande wa lugha wanaelewana hata kwenye baadhi ya tamaduni zao.......halafu wahutu na watutsi hayakua makabila bali zilikua ni social class, wahutu walikua wakulima , watutsi wafugaji,,,,,so katika nyakati tofauti mtu huyohuyo mmoja anaweza akawa mhutu baadae akawa mtutsi maana ilitegemea shughuli alizokua anafanya,,,,mkoloni ndo alivuruga mambo............sipo huko kwa wachaga mie nipo hapo kwa waha,,,,,mfano mwengine ndo hao Wanyankole wa Uganda na wanyambo wa Tanzania kabla ya ukoloni walikua ni taifa moja......Hapa hoja yako nini mkuu?
Hiyo Collabo ni noma mkuu, Ndugu zangu wachaga na Mkikuyu!!? 🤣Hapo lazima watu walizwe😅😅😅Wanafanana mno , nakumbuka kuna kipindi mkikuyu na mchaga walishirikiana kwenye matukio ilikua hatari sana😁😁