kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

Human rights abuses
Ethiopians wameuwawa sana kwa sababu za kisiasa ndio maana wengi wanakimbia nchi
Pia kuna ukamwe sana hawana sehemu kubwa ya kilimo
Nakumbuka kulikuwa na machafuko baina yao, wengi wakaanza kukimbia nchi kwa miguu na hapo ndio amri ikatoka wanajeshi wawauwe raia wanaoikimbia nchi
Aisee walipigwa risasi wananchi wengi sana huku wanakimbia
Mtu hataki kukaa nchini unamuulia nini?

Kuna watu wana roho mbaya aisee, halafu wakifanikiwa kuingia nchi jirani wakikimbiza roho zao na wao wanawakamata kama maharamia na hata kuwadhulumu walichonacho na kuwaanika juani kwa mbwembwe na kuwapiga mapicha kama wamekamata wahalifu shame on you
Watu wamekimbia abuses na wengine wanawafanyia mabaya zaidi

Hao ni wa kuwahurumia
 
Mambo ya Gari ya 2000 yanauhusiano upi na hii mada ya watu kuishi na njaa?
I am talking about basic needs. Car is not a basic need.
 
Halafu wabongo wengi hawajui kutofautisha kati ya watu wa Eritrea na wa Ethiopia
 

 
Sasa nikujibu nini mdogo wangu? Usiifananishe Tanzania na shith0le coutries. Kenya is a shith0le
Nimekwambia utaje tu mkoa mmoja Tanzania watu wanaishi hivi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3054841

 
Sasa kijana unaniletea taarifa ya 2013 miaka zaidi ya 11 iliyopita 🀣 🀣 🀣 🀣Hii ni zaidi ya upumbavu. Ni meconfirm wewe ni Kundustan




Kuhusu Kenya aka Kundustan hii hapa taarifa ya mwaka huu

 
Umeonyeshwa miji michache iliyo develop, ulisha wahi ona the rest of the country ilivyo? Then utaelewa why wanakimbia
 
NImeakuwambia nitajie mkoa mmoja tu Tanzania watu wanaishi maisha kama nguruwe ya huko Turkana 🀣 🀣 🀣 🀣 Yaani watu wanaishi maisha magumu kama hivi unataka kutufananisha nao!!

 
Nimekutajia sifa za watu kama wewe mnaojiona matajiri kumbe bure tu. Ni mara ngapi Tanzania imekumbwa na njaa kutokana na ukame?
Wapi nimesema mimi ni tajiri? 🀣🀣🀣🀣 acha kunilisha maneno ambayo sijasema. Mimi ninasema Kundustan aka Kenya bado wanahangaika na basic needs za kawaida kabisa.

Huwezi ona Tanzania upumbavu kama huu. Yani unataka kutufananisha na watu wanaoandamana kwasababu ya ugali Stupid πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Wewe unatakiwa uweke hapa. Mimi sijaona Mkoa wa Tanzania watu wanaishi maisha ya kiyama kama haya:-
View attachment 3054867

 
Ukienda nchi za watu Tanzania tunayoyaita majiji ni mitaa kuule kwao.
 
Kwani kuiita Kenya Sh*thole na maskini kwa Tanzania kisa Turkana siyo kujifanya tajiri?
Ninakueleza kuhusu whole Tanzania. Unachotakiwa kutuonesha namna maisha mazuri wanavyoishi wakenya. Acha kulia lia kama mtoto hapa. Tunaongelea Ethiopia na Kenya ni pipa na mfuniko.

Acha kuifananisha Tanzania na nchi iliyojichokea kama Kenya. Whole land of Kenya owned by Kenyatta Family and Whites

Taja mkoa wowote Tanzania wanaishi namna hii:-

 
Your browser is not able to display this video.
 
Mzee toka usingizini sasa hivi siyo 2013 sasa hivi ni 2024 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

 
Kenya ni economic polarized country kuna gap kubwa sana kati ya bwanyeye na fukara ndo maana kusurvive kenya ni kisanga sio kama bongo

hivo hivo baadhi ya nchi tajiri kama Nigeria na SA na Ethiopia kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…