Kwanini sasa wanakimbia nchi yao mkuu.!??Sio lazima nchi iwekeze kwenye kilimo cha chakula ili raia wake wawe na maisha mazuri, Hata hivyo Sekta ya kilimo Ethiopia ni kubwa kuliko Tanzania,
Ethiopia ni wazalishaji namba 4 wa mahindi barani Africa baada ya South Africa, Nigeria na Misri. Ndio nchi yenye mifugo mingi zaidi barani Africa.
Vita na migogoro ya kisiasa ya muda mrefu sana, ubaguzi wa kikabila.Kwanini sasa wanakimbia nchi yao mkuu.!??
Mzee nyie wakenya ni wapumbavu sana. Mama Ngina ndio kawaaminisha hivyo. Stupid mentality.Kwa mtindo huo Watanzania wanaoishi below poverty line ni 26 Millions.
Vita ipi imepiganwa Ethiopia miaka mingi. Kumbukumbu yangu nchi iliyopigana vita vya wenyewe kwa wenyewe muda mrefu ni AngolaVita na migogoro ya kisiasa ya muda mrefu sana, ubaguzi wa kikabila.
Overpopulation ambayo inazidi kasi ya ukuaji uchumi, Ethiopia imetuzidi kwa eneo kidogo tu ila idadi ya raia wake ni mara mbili ya idadi yetu, sisi tuko 60M wao wako 120M.
Ultra nationalist.Eeh wewe hata kama ndio unapenda vya kwako kweli ukafananishe adis ababa na dar kweli..???
Tutajie hao IT waliochanja mbuga. Na utuambie ni mashirika mangapi ya kimataifa yapo Kenya na yameajili wangapi.Regional office kwa MNcs na INGO kwa EA nyingi zipo KE, so ndo kusema anaajiriwa mtu wa IT wa INGO anamanage KE, TZ, RW, BU, UG, Sasa huyu kwa workload hiyo automatically mshahara wake unakuwa mkubwa na ndo maana middle income earners ni wengi kenya , Tanzania kiduchu, then huyu IT baadae utamkuta yupo HQ US anazidi chanja mbuga tu so again hapo unakuta kuna KEs wengi US, Europe wanapiga mzigo kuliko Tzee.
Ruhusu kichwa chako kupokea usivyovijua. Ethiopia ni nchi yenye migogoro chungu nzima. Hua panapoa tu. Lakini huko vita ni kama ugali dagaa tu huku bongoVita ipi imepiganwa Ethiopia miaka mingi. Kumbukumbu yangu nchi iliyopigana vita vya wenyewe kwa wenyewe muda mrefu ni Angola
Wala sioni ajabu maana nyie wakenya mpo na chuki sana na Tanzania
Mzee huwezi kulinganisha migogoro iliyopo DRC na hapo Ethiopia. Unasema migogoro chungu nzima mbona huitaji migogoro hiyo.Ruhusu kichwa chako kupokea usivyovijua. Ethiopia ni nchi yenye migogoro chungu nzima. Hua panapoa tu. Lakini huko vita ni kama ugali dagaa tu huku bongo
Ukilinganisha ndo utafeli Sasa migogoro mingi ya Ethiopia ni ukabila uliokithiri pande zote za huko.Mzee huwezi kulinganisha migogoro iliyopo DRC na hapo Ethiopia. Unasema migogoro chungu nzima mbona huitaji migogoro hiyo.
You are just talking empty words.
Mzee hebu acha kutufananisha na wakenya. Unatuaibisha watanzania.
Huwezi kukuta watanzania wanaishi hivi: π π π π€£ π€£ π€£ Uwe na Adabu na Tanzania Labda wewe ni Mkenya na tabia zenu za bragging π€£π€£π€£π€£
View attachment 3054827
View attachment 3054828
View attachment 3054829
Hata Russia haina Jeshi moja. Unatakiwa upate exposure mzee. Hizo siyo sababu za watu wa Ethiopia kukimbia kutoka nchini kwao. Umiza akili ujue zaidi. By the way GDP ya Ethiopia ni kubwa sana.Ukilinganisha ndo utafeli Sasa migogoro mingi ya Ethiopia ni ukabila uliokithiri pande zote za huko.
Hebu fikiria nchi hiyo Hadi Leo Haina jeshi 1 tu organized Bali Kuna mikoa mingine inajitawala kijeshi kisiasa nk.
Eg oromo
MaaviiiKenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania
Hujui kwamba kuandamana ni aspect muhimu kwa maendeleo lkn kwa mtanzania anayeaminishwa kwamba serikali haipingwi hawezi kuelewa nini maana ya maandamano.Mzee nyie wakenya ni wapumbavu sana. Mama Ngina ndio kawaaminisha hivyo. Stupid mentality.
Kenya was good miaka ya nyuma but now endeleeni kuandamana #RUTOMUSTGO π π π
Russia Kuna military force ngapi?Hata Russia haina Jeshi moja. Unatakiwa upate exposure mzee. Hizo siyo sababu za watu wa Ethiopia kukimbia kutoka nchini kwao. Umiza akili ujue zaidi. By the way GDP ya Ethiopia ni kubwa sana.
So Ethiopia na Kenya ni Chupa na mfuniko.
Russia Federation ipo na Republic 22 kila Republic ipo na Katiba yake na Rais wake. Na kila Republic ipo na Jeshi lake.Russia Kuna military force ngapi?
Russia is divided into 89 federal subjects. These include:Russia Kuna military force ngapi?
Yamefanyaje?Maaviii
Unaandamana kwa mambo muhimu. Huwezi kuandamana kwaajili ya ugali huku whole land owned by Kenyatta Family and Europeans.Hujui kwamba kuandamana ni aspect muhimu kwa maendeleo lkn kwa mtanzania anayeaminishwa kwamba serikali haipingwi hawezi kuelewa nini maana ya maandamano.
Endeleeni kumsifia mama na kukimbizana na mwenge.
Sawa maamumaTutajie hao IT waliochanja mbuga. Na utuambie ni mashirika mangapi ya kimataifa yapo Kenya na yameajili wangapi.
Kwa kumbukumbu yangu Kenya ndio nchi inayoongoza kwa unemployment hapa East Africa.
So taarifa yako haina ukweli ni propaganda za kipumbavu.
Yoda umeishi Kenya na kwa muda gani? living cost in Kenya is very higher than in Tanzania. Kwa miezi zaidi ya 6 niliyoishi Nairobi na viunga vyake nakuthibitishia hiloKenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania