Tayari mmeshasahau,kwani huyo Dangote hakuwahi kwenda Ikulu kipindi cha Mwendazake?na je huyo Mama ndio Raisi wa Kwanza kukaribisha wawekezaji Ikulu?Tunasubiri muda wake uishe,afanye haraka na hao wawekezaji wake. Tumerudi kuwa shamba la bibi.
DU, watu kwa kubadiri topic, nani kasema Dangote ni mkumbozi wa Tanzania? Kuna andiko hata moja limesema hivyo? Tusiwekeane maneno mdomoni tafadhari.Tatizo ni kuondoa fikra kwamba Dangote ni mkombozi wa TZ, hivyo achezee ikulu.
Bado hujaandika kitu. Unaandika mambo ya jumla sana! Hao akina nani? JF ya enzi zetu ilikuwa ya kutoa ushahidi siyo mambo ya kijiweni na majukwaa ya Lissu. Be specific! na huenda utasema Lissu wakati unaelewa Absalom Kibanda alitolewa jicho enzi ya Kikwete, Ulimboka aling'olewa meno enzi ya Kikwete. Tena PM akasema wapigwe tu!
Una matatizo mengi kichwani usiyoweza kuyaeleza kwa ufasaha.
Hivi umeona kejeli wapi? Just for your info umeshajiuliza kwa nini wako group ya kupata referral visa kabla ya kuingia TZ.Haijalishi awe mnigeria,mghana au mcameroon km ana uwezo wa kuwekeza na kuzalisha ajira za kutosha tunapaswa kumkaribisha kwa bashasha zote na sio kwa kejeli km unazoziandika hpa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
😨😨Mbona kipindi kile akina Rostam wameenda kuonana na ile maiti ya chato hamkuyasema haya
Mwacheni mama aipeleke nchi mahala salama kutoka kwenye ile diversion aliyokuwa anatupeleka bwana Mayanga/majanga
Kwa hiyo wewe ndio mwalimu wa hao wa shule ya msingi?Rais wa nchi sio sawa na admin wa group la whatsapp la shule ya msingi uliosoma.
Ni taasisi pana yenye ratiba pana na kile sehemu ni muhimu.
Najua vizuri sana hayo ya waziri na naibu wake na ninayo matumaini makubwa sana kwao, na wala haizuii chochote kwa rais kuwa sehemu yake; kama isivyozuia anavyofanya na hao akina Dangote.Waziri wa kilimo na naibu wake wapo vizuri sana na kuna mapinduzi makubwa yanaendelea ndani ya hiyo sekta.
Jiwe sina habari naye kabisa, na wala sikuona akifanya juhudi kuinua maisha ya wakulima, mbali ya kuhangaika na miundombinu na mengine.Hatari.
Jiwe alipofanya mikutano kama hii watu walibaki kusifu na kuabudu, eti leo tunaikosoa ccm kisa siyo jiwe sasa ila ni mama.
Tuumalize unafki huu watanzania.
Kwa kweli nyie wafuasi wa yule Nduli wa Chatto usukumani mnyamaza kabisaaaa! Tuna hasira sana na nyie maana mliharibu nchi kabisa! Uliwahi kuona wapi nchi inayoitwa ya kidemokrasia, yenye nembo ya Uhuru na Umoja watu wanapotezwa hovyo, wanaokotwa kwenye viroba, wanapigwa risasi, n.k halafu mkuu wa kaya hana hata muda na wala hashituki.Sisi tunanyamaza maana tukisema tunaitwa sukuma gangkwa sasa praise team wamebaki wa Msoga na ndugu zao Chadema,ndo kutwa na mapambio Daah nchi hii mmmhh
Huwezi kuandika bila kuonyesha ubaguzi wa kabila la mwingine!!Wasukuma Wana shida sana
Tangu Chief wao amekufa wanaropoka sana
Punguani mkubwa wewe, unahasira nao za kuwafanya nini...,! Sema utawafanya nini wasukuma?Kwa kweli nyie wafuasi wa yule Nduli wa Chatto usukumani mnyamaza kabisaaaa! Tuna hasira sana na nyie maana mliharibu nchi kabisa! Uliwahi kuona wapi nchi inayoitwa ya kidemokrasia, yenye nembo ya Uhuru na Umoja watu wanapotezwa hovyo, wanaokotwa kwenye viroba, wanapigwa risasi, n.k halafu mkuu wa kaya hana hata muda na wala hashituki.
Na mimi nataka kuongezea tu kwamba Dangote amewekeza USD 700,000,000. Kwa hesabu za pesa ya Tsh ni kama ukizidisha 700,000,000 X 3000.Mtu yoyote anayesaidia kutoa ajira anaheshimika duniani ,anafanya kazi kubwa kuisaidia serikali kwa ajira na kodi
Kama unamaanisha, basi wewe ni zero+Acha apewe chochote atakacho, kuliko kutawaliwa na yule dhalimu aliyeko ahera.
Kawekeza wastani wa 1.7 trillion kwenye huo mradiNa mimi nataka kuongezea tu kwamba Dangote amewekeza USD 700,000,000. Kwa hesabu za pesa ya Tsh ni kama ukizidisha 700,000,000 X 3000.
Halafu wewe Acha kuchafua nchi yetu Kwa ukabila wako, wasukuma ni watu na niwatanzania kama wewe!!Wasukuma Wana shida sana
Tangu Chief wao amekufa wanaropoka sana
Akili kisoda sana,mambo hayo ya watu kupotezwa umeanza kuyaona leo?Kwa kweli nyie wafuasi wa yule Nduli wa Chatto usukumani mnyamaza kabisaaaa! Tuna hasira sana na nyie maana mliharibu nchi kabisa! Uliwahi kuona wapi nchi inayoitwa ya kidemokrasia, yenye nembo ya Uhuru na Umoja watu wanapotezwa hovyo, wanaokotwa kwenye viroba, wanapigwa risasi, n.k halafu mkuu wa kaya hana hata muda na wala hashituki.
Mlengwa kanielewa wewe pita tu kimya kimya.Kwa hiyo wewe ndio mwalimu wa hao wa shule ya msingi?
Unaandika hapa upuuzi huu unaongeza thamani gani kwenye mada husika?
colonialists nyie. Master wenu is gone. should accept that.Chaga tribalists