Sijui hata chama tawala wenyewe wanajisikiaje kwa jambo hili. Hivi dhamira zao haziwasuti ? Lakini wakumbuke tu kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha na mwisho wa ubaya ni aibu.Hizi ni dalili za wazi dhidi ya upinzani. Haiwezekani tangu mchakato wa uchaguzi uanze chama tawala hawajahi kufanya makosa. Tunajidanganya tu kwani wananchi sio wajinga na wanaona unyanyasaji wa wazi dhidi ya vyama vya upinzani.
Baada ya kushindwa kuhimili ushindani,mmeamua kutumia mbinu mnaziita za kisayansi,ama matumizi ya mbeleko Kama,msaada was mwisho kwenu.Sijui hata chama tawala wenyewe wanajisikiaje kwa jambo hili. Hivi dhamira zao haziwasuti ? Lakini wakumbuke tu kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha na mwisho wa ubaya ni aibu.
Viongozi wote wa TUME YA UCHAGUZI ni WATEULE WA RAIS (MAWAKALA) ALIYEKO MADARAKANI.Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Makamanda wenzangu wanamuiga Lissu kufanya vurugu.Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
I think ni Malezi ndani ya CHAMA.
Au ile hali ya kumfuata role model wao wakiamini wapo juu ya sheria.
Kipimo kidogo: Angalia replies zao kwenye hii thread ndio utatambua hiki chama hasa CHADEMA ni watu wenye ethics gani!
[/QUOT
Wakati mnahaha kuwanunua, na kuwapa nafasi hata kama wamekatwa na wajumbe. Tutawauzieni tu, tunaendelea ku recruit wengine.
Mkuu hata wewe pamoja na kuanzisha huu Uzi,roho yako ina kusuta jinsi tume inavyoonea upinzani.Nimekuelewa mkuu!
Kwani maneno wanayoongea hatuyasikii?Mkuu hata wewe pamoja na kuanzisha huu Uzi,roho yako ina kusuta jinsi tume inavyoonea upinzani.
Ni vile huna namna lazima utetee tonge lisidondoke.
Wanajiona wako sahihi kwa kila kitu.. Bado siku 11 tuwakomeshe
Ila ujue ni swali la kijinga, na uenda anaeuliza pia ni mjinga, ni kwa nini wagombea wa upinzani tu walikosa sifa na kuenguliwa,.tume imepitisha kanuni ambazo uzitumia dhidi ya upinzani halisi, na sio kwa wao au upinzani kivuli kama demokrasia makini, cuf NRA nccr UDP.Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu johnthebaptist, siku zote nasema humu, hawa madogo, bado sana!.Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Umeshapanic bwashee!Ila ujue ni swali la kijinga, na uenda anaeuliza pia ni mjinga, ni kwa nini wagombea wa upinzani tu walikosa sifa na kuenguliwa,.tume imepitisha kanuni ambazo uzitumia dhidi ya upinzani halisi, na sio kwa wao au upinzani kivuli kama demokrasia makini, cuf NRA nccr UDP.
Ujiulize kabla ya kuuliza ujinga!
Vipi avivyong'olewa mkoloni,ukomavu ulizingatiwa?Mkuu johnthebaptist, siku zote nasema humu, hawa madogo, bado sana!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
P
Bado siku 11 tu. Tuwakate ngebe watu wa AmsterdamGeisha ya 200/- tu ingeliepusha Taifa na hii fedheha.
Vyama vyote ni sawa lkn wasimamizi hakuna haki kabsa Kuna cku mtu alisema chama cha mboye hii c haki kila cku nackia matusi na dhiaka juu ya chadema zikitoka chama tawala ndugu zangu cc ni watz tunapenda haki nahisi tunajua kuwa Bila haki no aman kwahiyo wenye kuongoza nchi wahakikishe hiki kitu kilindwe na kiheshimiwe ili tufikie tz yenye maendeleo endelevuNa wagombea udiwani na ubunge walioenguliwa ni wengi CHADEMA kuliko chama chochote!!![emoji41]
Kwa kweli wanachofanya viongozi wa CHADEMA, wakiongozwa na Lissu ni jambo la makusudi kabisa kwa nia na lengo la kuichokoza Serikali na vyombo vya dola ili kujenga picha kwa waliomtuma Lissu yaani akina Asterdam na genge lake la wanyonyaji na wezi wa mali zetu za asili, ili kujenga "uhalali" wa kupiga kelele kuwa wanaonewa na ifikapo kwenye KIPIGO CHA MBWA KOKO watakachopata hapo 28/10/2020, iwe sababu ya kulalama kwa hao waliowatuma pia kama njia ya ku - account for ruzuku waliyopewa ili wafanye fujo. Serikali na vyombo vya dola wanakwepa mtego huo hadi uchaguzi uishe na atakaye fanya fujo kwa kutegemea Amsterdam atakuja kuwasaidia, ndipo watajua kwa nini US na nchi hizo za mabeberu na wapambe wao kuwa "hawanaga marafiki wa kudumu ila wana maslahi ya kudumu".Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je, ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!