Uchaguzi 2020 Kwanini wagombea wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kukiuka maadili ya uchaguzi? Ni malezi mabovu ndani ya chama au?

Hizi ni dalili za wazi dhidi ya upinzani. Haiwezekani tangu mchakato wa uchaguzi uanze chama tawala hawajahi kufanya makosa. Tunajidanganya tu kwani wananchi sio wajinga na wanaona unyanyasaji wa wazi dhidi ya vyama vya upinzani.
Sijui hata chama tawala wenyewe wanajisikiaje kwa jambo hili. Hivi dhamira zao haziwasuti ? Lakini wakumbuke tu kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha na mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Baada ya kushindwa kuhimili ushindani,mmeamua kutumia mbinu mnaziita za kisayansi,ama matumizi ya mbeleko Kama,msaada was mwisho kwenu.
 
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.

Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.

Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?

Je ni malezi ndani ya vyama?

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Viongozi wote wa TUME YA UCHAGUZI ni WATEULE WA RAIS (MAWAKALA) ALIYEKO MADARAKANI.
 
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.

Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.

Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?

Je ni malezi ndani ya vyama?

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Makamanda wenzangu wanamuiga Lissu kufanya vurugu.
 
Wakati m
I think ni Malezi ndani ya CHAMA.

Au ile hali ya kumfuata role model wao wakiamini wapo juu ya sheria.

Kipimo kidogo: Angalia replies zao kwenye hii thread ndio utatambua hiki chama hasa CHADEMA ni watu wenye ethics gani!
[/QUOT
Wakati mnahaha kuwanunua, na kuwapa nafasi hata kama wamekatwa na wajumbe. Tutawauzieni tu, tunaendelea ku recruit wengine.
 
Brother hawana maadili kabisa na yule mgombea wao mkubwa ' sio rizki' kuna mengi hawajafunzwa wanataka kuharibu maadili na kuleta tabia chafu nchini.
 
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.

Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.

Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?

Je ni malezi ndani ya vyama?

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Ila ujue ni swali la kijinga, na uenda anaeuliza pia ni mjinga, ni kwa nini wagombea wa upinzani tu walikosa sifa na kuenguliwa,.tume imepitisha kanuni ambazo uzitumia dhidi ya upinzani halisi, na sio kwa wao au upinzani kivuli kama demokrasia makini, cuf NRA nccr UDP.
Ujiulize kabla ya kuuliza ujinga!
 
Kama wanakiuka haya maadili basi wakifute hiki chama kibaki ccm
 
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.

Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.

Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?

Je ni malezi ndani ya vyama?

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu johnthebaptist, siku zote nasema humu, hawa madogo, bado sana!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

P
 
Ila ujue ni swali la kijinga, na uenda anaeuliza pia ni mjinga, ni kwa nini wagombea wa upinzani tu walikosa sifa na kuenguliwa,.tume imepitisha kanuni ambazo uzitumia dhidi ya upinzani halisi, na sio kwa wao au upinzani kivuli kama demokrasia makini, cuf NRA nccr UDP.
Ujiulize kabla ya kuuliza ujinga!
Umeshapanic bwashee!
 
Na wagombea udiwani na ubunge walioenguliwa ni wengi CHADEMA kuliko chama chochote!!![emoji41]
Vyama vyote ni sawa lkn wasimamizi hakuna haki kabsa Kuna cku mtu alisema chama cha mboye hii c haki kila cku nackia matusi na dhiaka juu ya chadema zikitoka chama tawala ndugu zangu cc ni watz tunapenda haki nahisi tunajua kuwa Bila haki no aman kwahiyo wenye kuongoza nchi wahakikishe hiki kitu kilindwe na kiheshimiwe ili tufikie tz yenye maendeleo endelevu
Chama kimeshika dola kinahofu ya nn wapinzani ndo wanatakiwa wawe na hofu
Hapo wengi watajua kuwa chadema na ccm nani alokuwa kwenye dola maana kuna chama hakijiamini
 
Kwa k
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.

Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.

Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?

Je, ni malezi ndani ya vyama?

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa kweli wanachofanya viongozi wa CHADEMA, wakiongozwa na Lissu ni jambo la makusudi kabisa kwa nia na lengo la kuichokoza Serikali na vyombo vya dola ili kujenga picha kwa waliomtuma Lissu yaani akina Asterdam na genge lake la wanyonyaji na wezi wa mali zetu za asili, ili kujenga "uhalali" wa kupiga kelele kuwa wanaonewa na ifikapo kwenye KIPIGO CHA MBWA KOKO watakachopata hapo 28/10/2020, iwe sababu ya kulalama kwa hao waliowatuma pia kama njia ya ku - account for ruzuku waliyopewa ili wafanye fujo. Serikali na vyombo vya dola wanakwepa mtego huo hadi uchaguzi uishe na atakaye fanya fujo kwa kutegemea Amsterdam atakuja kuwasaidia, ndipo watajua kwa nini US na nchi hizo za mabeberu na wapambe wao kuwa "hawanaga marafiki wa kudumu ila wana maslahi ya kudumu".
 
NEC kuweni makini, Chadema wamesha ona kipigo kizito ndani ya sanduku la kura wanatafuta mtu wa kumrushia Lawama msipoangalia wanaweza susia uchaguzi dakika yoyote kutoka sasa ili Lawama ziwe juu yenu.
 
Back
Top Bottom