matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Majivuno na Umalaya Sumu Kwa maendeleoWatu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.
Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.
Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?
Ni hayo tu.
Na Elimu sio AkiliElimu siyo pesa kama tunavyoaminishwa
Akili ndiyo pesa mkuu
Wahaya wana elimu ila hawana akiliWatu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.
Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.
Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?
Ni hayo tu.
Wao haswak asubuhi..hata Kuna mmoja wao kanithibitishia hilo...mwenyew haswak,alikiri kabisaHawa ndugu zangu kwani midomo yao wanakula nn ? Maana ukikutana na wahaya 10 basi 9 midomo inaleta hewa mbaya
wacha upuuzi statistical Kagera ni moja ya mikoa maskini japokuwa wana ardhi ya rutuba na pia karibia kila kitu kama Kilimanjaro tena kwa kuzidi maana wana ardhi kubwa na ya rutuba haswa!Stori bila statistics ni porojo.
Chanzo cha stori yako ni kipi!
Maendeleo gani unazungumzia?
Ukisema maendeleo una maana gani
Maendeleo katika nyanda zipi?
MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
Tafuta nyuzi usome. Mambo ya wahaya na wachaga kila siku JF. Walishajadili threads zimajaa humu.Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.
Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.
Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?
Ni hayo tu.
Jamani acheni dharau na makabila ya watu! Tabia ya wachaga kujitukuza inakera sana! Hata wachungaji wao full kuongelea uchaga!Hawa ndugu zangu kwani midomo yao wanakula nn ? Maana ukikutana na wahaya 10 basi 9 midomo inaleta hewa mbaya
Thithi tunajimwambafai mnoo🤸🤸🤸Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.
Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.
Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?
Ni hayo tu.
Kwa kweli siogopei hii nimeona kabisa nimeishi nao sana wote wananuk midomo tena wanaume wa kike sijajua ....Kuna mmoja alikuwa supervisor wangu yaani anatoa maelekezo harufu inatoka kabisa bila ya wasiwasi.Wao haswak asubuhi..hata Kuna mmoja wao kanithibitishia hilo...mwenyew haswak,alikiri kabisa