Wahaya
-Ajira (mishahara+upigaji)
Wachaga
-Ajira (mishahara+upigaji)
-Biashara (pesa nyingi zaidi)
-Siasa (power)
-Kuendeleza kwao (uchagani hakuna nyumba ya nyasi)
-Hawasahau kwao (hata mtoto azaliwe Dar, kila mwaka lazima arudi uchagani kuijua asili yake akutane na ndugu zake wote hata wale wanaishi London Uingereza)
Sijaona kabila lolote la kuwasogelea wachaga, hao wote wengine sijui wahaya, waha, wakinga, wasukuma, wanyakyusa, n.k. ukienda huko vijijini kwao wanatia huruma, yani hata nyumba tu sanasana utakuta matajiri wanaohesabika wamejenga nyumba za kisasa zinazohesabika ila nyumba zingine zinatia huruma, mtu akipata maendeleo anaogopa kurudi kwao ama kupeleka watoto kwa hofu watamuonea wivu watamroga.