Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.

Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.

Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?

Ni hayo tu.
nimeishi na wahaya, hata mama yangu pia ni muhaya .....ubinafsi na ile roho ya umimi ndio inayowamaliza wahaya
 
Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.

Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.

Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?

Ni hayo tu.
Wahaya Meneno mengi kazi kidogo......hata pesa wanazopata wanaishia kugongea mademu tu.
 
Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.

Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.

Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?

Ni hayo tu.
Mashauzi yao na ubinafsi ndo kilichowaponza mpaka teacher akawalamba block sehemu nying na wangepewa nafas kutokana na elimu yao ingekuwa balaa sana ndani ya nchi hii
 
Wahaya
-Ajira (mishahara+upigaji)

Wachaga
-Ajira (mishahara+upigaji)

-Biashara (pesa nyingi zaidi)

-Siasa (power)

-Kuendeleza kwao (uchagani hakuna nyumba ya nyasi)

-Hawasahau kwao (hata mtoto azaliwe Dar, kila mwaka lazima arudi uchagani kuijua asili yake akutane na ndugu zake wote hata wale wanaishi London Uingereza)

Sijaona kabila lolote la kuwasogelea wachaga, hao wote wengine sijui wahaya, waha, wakinga, wasukuma, wanyakyusa, n.k. ukienda huko vijijini kwao wanatia huruma, yani hata nyumba tu sanasana utakuta matajiri wanaohesabika wamejenga nyumba za kisasa zinazohesabika ila nyumba zingine zinatia huruma, mtu akipata maendeleo anaogopa kurudi kwao ama kupeleka watoto kwa hofu watamuonea wivu watamroga.
 
Back
Top Bottom