Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

Stori bila statistics ni porojo.

Chanzo cha stori yako ni kipi!

Maendeleo gani unazungumzia?

Ukisema maendeleo una maana gani

Maendeleo katika nyanda zipi?

MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
Binafsi nilifika Kagera shule ziko nyingi kuliko wanafunzi, hospitali nyingi Sasa sijaelewa umasikini ni kukosa huduma za kijamii au kitu gani maana jamaa Kila huduma ya kijamii wanazo kuliko wengine

Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa wa ovyo sanaaa...Kuna mchongo nilipewa wa kwenda seminar wik Moja na kutakoa na mzigo wa maana...yule choko sijui alienda kuongea Nini na boss...nashangaa ndo kapangwa kuenda yeye wkat before aliniita na kunambia kuwa nitakupa barua ya kwenda kweny seminar...
Wanapenda mambo ya shobo na wanoko sana na kupenda kuongoza wenzao ,kufanya kazi hawana maajabu washamba tu wavivu kupenda shortcut.
 
Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.

Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.

Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?

Ni hayo tu.
Umeishawahi kufika bukoba? Ukaona Hari ilivyo? richa ya, dar kuwa na ma Pato makubwa, lakini kuna maeneo ukifika, kama Tandale,kawe ukwamani, kuna sura ya, ufukara wa kutisha,
Ukikutana na, omba omba New York, haiamaniishi USA ni, maskini, inabaki, kuwa taifa tajiri.
Ukitaka kujua bukoba ilivyo Bora, angalia matokeo ya mitiani shule za msingi, secondary, inaongoza katika mikoa yote 27 ya bongo,
Ukikuta bukoba, stend,soko,barabara ni mbovu? Ilo ni tatizo, la mwananchi mmoja mmoja au Sera za serikali.
Kama kigezo kuwa kagera nj maskini, ni jumla ya mapato ya shugguri za kiuchumi, gawa kwa idadi ya watu,
Kama mikoa hauna viwanda, shughuri za uzalishaji kubwa, lazima utaona Hari ni mbaya,
Juzi, walisema dar, ukwasi kwa kila mwananchi umeongezeka, kiasi kwamba kila mkazi wa Dar ana miriki milioni 5 kibindoni!!
Hizi, ni takwimu tu, hazina uhalisia,
Viwanda vya bakhresa vipo hapa, ukichukua mapato ya bakhresa, unajumlisha na mapato ya bodaboda, harafu unstafuta wastani, hawa wananchi wa kipato cha chini, wataonekana wana mkwanja mrefu kumbe bure kabisa,
Haya, tuna maprofesa wengi, wafanyabiashara wengi, mzunguko mkubwa wa pesa, hazipo bukoba tu, tupo kila eneo nchi hii,
Ukfika masasi Lindi, eneo la Jeddah, hotel kubwa ni ya muhaya!
Umewahi kufika same, uone ufukara uliopo.
 
Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.

Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.

Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?

Ni hayo tu.
Tatizo sifa mingiutumiaji wa akili mdogo😆😆
 
Stori bila statistics ni porojo.

Chanzo cha stori yako ni kipi!

Maendeleo gani unazungumzia?

Ukisema maendeleo una maana gani

Maendeleo katika nyanda zipi?

MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
Naona mmekuja
 
Sijui kwanini pale Kariakoo zamani kuna mtaa tulikuwa tunakatazwa kabisa kupita, Morogoro Road kule karibu na jengo la vijana, tunaambiwa "msipite huko kwa wahaya aibu".

Sifahamu kwanini ilikuwa vile. Kuna mwenye kuelewa?
 
Back
Top Bottom