NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Najua umesema Same unamanisha Wapare.Kwa taarifa yako Wapare hawakai tambarare wako kule milimani.Hata wachaga ukiwatathmini kwa kuangalia mji wa Moshi utaona wako nyuma sana ila panda kule juu milimani Machame,Marangu uone maendeleo yao.Umeishawahi kufika bukoba? Ukaona Hari ilivyo? richa ya, dar kuwa na ma Pato makubwa, lakini kuna maeneo ukifika, kama Tandale,kawe ukwamani, kuna sura ya, ufukara wa kutisha,
Ukikutana na, omba omba New York, haiamaniishi USA ni, maskini, inabaki, kuwa taifa tajiri.
Ukitaka kujua bukoba ilivyo Bora, angalia matokeo ya mitiani shule za msingi, secondary, inaongoza katika mikoa yote 27 ya bongo,
Ukikuta bukoba, stend,soko,barabara ni mbovu? Ilo ni tatizo, la mwananchi mmoja mmoja au Sera za serikali.
Kama kigezo kuwa kagera nj maskini, ni jumla ya mapato ya shugguri za kiuchumi, gawa kwa idadi ya watu,
Kama mikoa hauna viwanda, shughuri za uzalishaji kubwa, lazima utaona Hari ni mbaya,
Juzi, walisema dar, ukwasi kwa kila mwananchi umeongezeka, kiasi kwamba kila mkazi wa Dar ana miriki milioni 5 kibindoni!!
Hizi, ni takwimu tu, hazina uhalisia,
Viwanda vya bakhresa vipo hapa, ukichukua mapato ya bakhresa, unajumlisha na mapato ya bodaboda, harafu unstafuta wastani, hawa wananchi wa kipato cha chini, wataonekana wana mkwanja mrefu kumbe bure kabisa,
Haya, tuna maprofesa wengi, wafanyabiashara wengi, mzunguko mkubwa wa pesa, hazipo bukoba tu, tupo kila eneo nchi hii,
Ukfika masasi Lindi, eneo la Jeddah, hotel kubwa ni ya muhaya!
Umewahi kufika same, uone ufukara uliopo.
Wahaya ukienda vijijini ndio utaona umasikini ulivyokidhiri.Kula kwao senene msidhani ni mila ni umasikini tena hata ngozi ya ngombe inakatwa vipande inachemshwa kisha inaanikwa inaliwa vipande vipande.
Upareni mjerumani alijenga makanisa mapema sana