Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

Sijui kwanini pale Kariakoo zamani kuna mtaa tulikuwa tunakatazwa kabisa kupita, Morogoro Road kule karibu na jengo la vijana, tunaambiwa "msipite huko kwa wahaya aibu".

Sifahamu kwanini ilikuwa vile. Kuna mwenye kuelewa?
Miaka ile kuanzia kona ya barabara za Lumumba/Morogoro hadi Msimbazi/Morogoro vilikuwa vibanda vya Wahaya kujiuza
 
Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.

Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.

Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?

Ni hayo tu.
kinachowaponza wahaya ni kujikweza,,,kinachowapandisha wachagga ni kujishusha!!!!!unaweza kumkuta tajiri wa kichagga anacheza draft,,,lakini tajiri wa kihaya never!!
 
Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.

Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.

Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?

Ni hayo tu.
Kale kakijiji kao kanawaangusha kanaitwa Katerero.
 
Natoa mfano mmoja Nina rafiki yangu ni muhaya .Huyu bwana yupo radhi kutumia gharama kubwa ili tu anukie vizuri avutie wanawake.

Yupo tayar kukushusha hadhi mbele ya wanawake na washkaji ili yeye awe top

Huyu tulikuwa tunalipwa sawa lakin mpaka mkataba unaisha Hana hata godoro
Yeye night club na kuongea kiingireza.

Mwingine ni mchanga aiseee huyu jamaa anaweza akakudai hata 100tsh.

Kwanza anakula ugali WA buku .sijui alikuwa na malengo gani ?? Ni goodsaver

Kafanya vitu vikubwa kwa umri wake


Kiufupi wahaya hawana TOFAUTI na wakenya wao wakishajua kiingireza tu wanahisi ndio tayari maisha washayapitia.

Kumbe maisha ni zaidi ya lugha.
Umekosea kuwaunganisha Wakenya humu ungesema Wakenya kabila la Wajaluo
Wakikuyu hawana tabia hii
 
Stori bila statistics ni porojo.

Chanzo cha stori yako ni kipi!

Maendeleo gani unazungumzia?

Ukisema maendeleo una maana gani

Maendeleo katika nyanda zipi?

MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
Statistics Hizo hapo
1697130217506.jpg
 
Jamani acheni dharau na makabila ya watu! Tabia ya wachaga kujitukuza inakera sana! Hata wachungaji wao full kuongelea uchaga!
Kwa sasa msijidanganye kila kabila wana maendeleo ila tatizo tunapofikiria kuwa sisi au wale si bora au sio bora ndo tunaharibu!
Soma hiyooo,lazma kuwe na WA kwanza na WA mwisho
Kilimanjaro Tangu uhuru haijawh kutoka top 5 ya Elimu au mãendeleo
1697130217506.jpg
 
Kwa kweli siogopei hii nimeona kabisa nimeishi nao sana wote wananuk midomo tena wanaume wa kike sijajua ....Kuna mmoja alikuwa supervisor wangu yaani anatoa maelekezo harufu inatoka kabisa bila ya wasiwasi.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Sina mbavu
 
Kwa wote hao walioelimika ni wachache sana.

Wengi wao (majority) wamesoma lakini hawajaelimika.

Walisomea ujinga kwa kiwango kikubwa.
Wivu utakuua wewe kibibi
Unaona wivu n'a Elimu Yako ya memkwa uliosomea huko makunduchi
 
Kama watanzania wameanza kubeza elimu kiasi hiki, mkae mkijua taifa hili ambalo akili ndogo inaogoza akili kubwa tunatumbukia shimoni
Wapi kabeza Elimu? Kasema mmesoma lakini hamna Akili ya mãendeleo kama Wachaga
Kichwa chako kina Akili 7 kama jina lako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wahaya
-Ajira (mishahara+upigaji)

Wachaga
-Ajira (mishahara+upigaji)

-Biashara (pesa nyingi zaidi)

-Siasa (power)

-Kuendeleza kwao (uchagani hakuna nyumba ya nyasi)

-Hawasahau kwao (hata mtoto azaliwe Dar, kila mwaka lazima arudi uchagani kuijua asili yake akutane na ndugu zake wote hata wale wanaishi London Uingereza)


Sijaona kabila lolote la kuwasogelea wachaga, hao wote wengine sijui wahaya, waha, wakinga, wasukuma, wanyakyusa, n.k. ukienda huko vijijini kwao wanatia huruma, yani hata nyumba tu sanasana utakuta matajiri wanaohesabika wamejenga nyumba za kisasa zinazohesabika ila nyumba zingine zinatia huruma, mtu akipata maendeleo anaogopa kurudi kwao ama kupeleka watoto kwa hofu watamuonea wivu watamroga.
Truth
 
Back
Top Bottom