Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

Wahaya
-Ajira (mishahara+upigaji)

Wachaga
-Ajira (mishahara+upigaji)

-Biashara (pesa nyingi zaidi)

-Siasa (power)

-Kuendeleza kwao (uchagani hakuna nyumba ya nyasi)

-Hawasahau kwao (hata mtoto azaliwe Dar, kila mwaka lazima arudi uchagani kuijua asili yake akutane na ndugu zake wote hata wale wanaishi London Uingereza)


Sijaona kabila lolote la kuwasogelea wachaga, hao wote wengine sijui wahaya, waha, wakinga, wasukuma, wanyakyusa, n.k. ukienda huko vijijini kwao wanatia huruma, yani hata nyumba tu sanasana utakuta matajiri wanaohesabika wamejenga nyumba za kisasa zinazohesabika ila nyumba zingine zinatia huruma, mtu akipata maendeleo anaogopa kurudi kwao ama kupeleka watoto kwa hofu watamuonea wivu watamroga.
Ni sahihi mzee
 
Stori bila statistics ni porojo.

Chanzo cha stori yako ni kipi!

Maendeleo gani unazungumzia?

Ukisema maendeleo una maana gani

Maendeleo katika nyanda zipi?

MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
kula chuma hicho.
 

Attachments

  • IMG-20231017-WA0081.jpg
    IMG-20231017-WA0081.jpg
    83.8 KB · Views: 10
Wachaga ni risk takers mchaga akitaka asiwe maskini kaa nae mbali, roho zao ni nyoka mkali aidha wafe au ufee, nmewahi kuuza duka la kimario mmoja siku nilipigiwa simu amefariki wakati tunaenda kuzika tukapata za chini chini kuwa alipigwa risasi, Ana duka mchana nauza nae lakini usiku alikuwa ni mafia wa wizi wa magari na piki piki, nyumba niliyoikuta kajenga kwao nilishangaaa sanaa haiendani na mauzo kabisaa nyumba ilikuwa ya maana mno. Mungu amrehemu tu boss wangu
 
Stori bila statistics ni porojo.

Chanzo cha stori yako ni kipi!

Maendeleo gani unazungumzia?

Ukisema maendeleo una maana gani

Maendeleo katika nyanda zipi?

MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
Tafuta takwimu za NBS zinathibitisha hilo
 
Hata wamisionari walijenga pia ila still huwezi kusema zoote zilijengwa nao kuna shule nyingi wanavijiji huko Kagera na Kilimanjaro walijenga!
Ni sawa lakini ule mwamko ulitoka kwa Waasisi walioleta program hiyo ya kujenga Shule, Hospitali na Kanisa maeneo hayo
 
Kwa wote hao walioelimika ni wachache sana.

Wengi wao (majority) wamesoma lakini hawajaelimika.

Walisomea ujinga kwa kiwango kikubwa.
Naunga mkono hoja 100% niliwahi kwenda kuangalia fursa bukoba kikwazo kikubwa niliona ni watu yaani wanapenda kesi balaa
 
Kuna mmoja nangoja aingie kweny timing zangu nimchane anajifanya anajua sana kumbe mshamba tu.
Hawa jamaa wa ovyo sanaaa...Kuna mchongo nilipewa wa kwenda seminar wik Moja na kutakoa na mzigo wa maana...yule choko sijui alienda kuongea Nini na boss...nashangaa ndo kapangwa kuenda yeye wkat before aliniita na kunambia kuwa nitakupa barua ya kwenda kweny seminar...
 
Kwa wote hao walioelimika ni wachache sana.

Wengi wao (majority) wamesoma lakini hawajaelimika.

Walisomea ujinga kwa kiwango kikubwa.
Kwa ulichokisema kwa makabila mengine ndio yamelala kabisa bora hata ya haya mawili
 
Tangu enzi mchaga anakuja kutafuta dar anaweza kwenda moshi na akageuza siku hiyohiyo kurudi dar kutafuta,ila kwenda bukoba ilikua kipengele kwanza barabara zilikua hakuna meli mv bukoba tu,ni miaka hii ndio unaweza kutumia siku moja .umbali wa sehemu hizi umechangia kwa miaka mingi

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Wachaga wao kwawao hawana ubinafsi ,WAHAHAYA ubinafsi umewajaa Hadi kwenye fizi
Ukienda Uhayani ndio utashangaa wana matabaka sio poa wanabaguana sana

Kuna Wahaya ni masikini sijapata ona wenye nafuu ya kipato ni hawa Wahaya wanaoitwa Ishomile ndio hawa waliosoma na kuwekana kwenye kazi enzi hizo
 
Back
Top Bottom