Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

Mbona sijaona hata Taili la Bajaj likitoka kanda ya ziwa. Hivi wewe unafahamu akili kweli?
 
Myahudi yupi huyo alizamia south
 
Hapana, ukiona mhaya anatumia ulimi ujue kazaliwa nje ya Kagera na wala huwezi kulowanisha shuka. Technology inahitaji namna nzuri ya kushika kichwa cha rungu na kucheza na antena ya K..alolina. ukipata muda nenda Bk utapewa training na warembo.
Mkuu. Kule facebook unatumia jina gani? Hii elimu si ya kukosa
 
Asante mkuu umenikumbusha kitu muhimu sana, ebu nisaidie sisi wabantu sasa tulitokea wapi?
mbali na hayo yangu kwa sababu Historia ya Africa imepindishwa sana
Nasikia msitu wa Congo lakini tukaja kusambaa
 
Wepi hasa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu ni IQ Test.

Ila sina maana kwamba ufanye hayo ndio uwe na akili, kwa sababu kila mtu amezaliwa na akili haijalishi kama amekula samaki au la.
Nani amegundua IQ test?

Yeye alipimwa na nani?

Hao wenye IQ kubwa wote wamekula samaki?

Kama wasukuma wana akili nyingi, mbona jamii zao ni masikini? Hazina elimu? Hawajajikomboa?

Ukiangalia wakati wa Magufuli, pamoja na kujaza wasikuma wenzake, mbona nchi inazidi kudidimia kwenye kila nyanja?

Hao samaki waliokula wameenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahaya wana akili mbovu na ovyo kujisifu tu ndo kumewajaa ukifika kwao utachoka
 
Kila binadamu ana akili mtihani unakuja jinsi ya kuzitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…