Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

Naomba nilete picha za vijijin huko uhayani.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mila gan za tofauti? Labda Mila ya kurithi wajane maana wahaya hii Mila ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangekuwa na akili mkoa wao isingekuwa kwenye orodha ya mikoa maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mandhari za vijin kilimanjaro hatuna mpinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ma T.O WA mwaka huu wa kwanza na wa PILI wote ni wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata hufaham maendeleo? Basi Kuna kazi kubwa Sana kukuelimisha hii Ni kutokana na nyie kutopenda shule

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imenibidi nikucheke Tu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nauliza.
1. Kwanini wahaya walio wengi wananuka midomo?
2. Kwanini wanawake wa kihaya wanatoaga maji torfauti na makabila mengine? Ni uhayani tu unakokuta magodoro ya gesti yanatolewa nje kuanikwa.
Utakuwa umekanyaga mafuta ya upako sio bure[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndio hapo sasa. Afu anajidai za kuambiwa nichanganye na zangu utafikiri yeye aliwashuhudia watokapo ethiopia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwepo, wala siyo ujuaji hapa tuna Elimishana, yale tuyajuayo tunayatoa ili na sisi tupate kupingwa mawazo yetu, na wenye kujua zaidi yetu, ndiyo maana ya mjadala, JF ni zaidi ya darsa;

Nina maana kwamba! katika mitaala yeyote Duniani, kuna vitabu vya kiada na ziada! so' utasoma unayoambiwa, then utachanganya na zako kwa kufanya frame of references source za aina mbalimbali, km, majarida, vitabu, Radio, Tv nk,

Nyingine unaweza kufanya hata Utalii binafsi wa sehemu husika usiokuwa wa gharama kuubwa, mfano tu nakupa km Uki-Gradute, unaweza fanyia internship yako ktk nchi mojawapo za Ki-Africa ambazo ume-target kwa kichwa yako.

Kujichanganya na watu wageni wa aina mbalimbali, wanaofika Bongo, kupitia Seminar, Shule, Mafunzo kazini, Utalii,nk unaweza shangaa baadhi yao! mnatamka maneno kwa lafudhi moja, au lafudhi tofauti lkn maana moja, mfano, Basotho wanatamka ''Ikweena- Mamba'' Wajita ''Ing'wena''- Mamba huyohuyo!
Basotho Mng'aka wee!, kikuyu- ''Mghaka wee!''- wewe mzee!
 
Hun
Wayahudi wa aina gani hao
Huna akili nenda ka google.Mnadanganywa wayahudi ni wenye akili kuliko nyie wajinga wajinga.Afrika wayahudi ni wengi tu lakini hakuna wanachofanya hukondeana na njaa huko kwao etheopia.Tatizo mmelishwa sumu na watu wa dini zenu mmekuwa ma bogus.Jiongeze kielimu uondoe hizo sumu.
 
Wahaya ni Nubian.
 
Mnavyojadili utasema kuna kabila limefikia walau uchumi wa kati!! Afrika ni masikini,Tanzania ni masikini,Kilimanjaro ni masikini,Kagera ni masikini,Dar ni masikini.Yaani umasikini tu.Pambaneni kuundoa umasikini Afrika na Tanzania. Mnatia huruma sana.Sie tuliesoma physics hakuna cha muhaya, mchaga wala muha kwenye vile vitabu kuanzia secondary mpaka university.Wamejaa wazungu tu.Wajinga sana nyinyi akili gani hizo zisizovitabuni.
 
Mnyakyusa mamba anatamka ngwina ambapo mzizi wa neno ng haujabadirika hata ktk kabila ulizotaja. Neno "huko" ktk kishona latamkwa sawa sawa na letu sie waswahili "huko" likirejelea uelekeo wa sehemu. Sasa unaweza toa ushahidi kuwa waarabu waliishi shona land kama ilivokua ktk upwa wa A.Mashariki?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.MIMI NILIENDAJE HUKO NA WADOGO ZANGU WOTE!! SIKIA STORI TU KUHUSU MCHUJO ! POINTI SABA LAINI NA INGEKUWA KATA NI FOUR KAMA YENU HE HE
 
Kardinali Rugambwa
Sir George kahama
Askofu novatus Rugambwa balozi wa pope.


Wapo kibao useme Tu watz hawataki kukubali ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hii ni aibu kwahyo wana akili hao! cheo sio kwamba una akili kuliko wengine kwahyo familia ya BUSH au MAGU ana akili kuliko wote.Tofautisha mtu kupwa madaraka na akili.IDD AMIN. HITTLER nao utasemaje na hasa IDD AMIN kwani ni muhaya mwenzenu msimkatae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…